SIKAF eye care

SIKAF eye care Lengo la ukurasa huu ni kukuelimisha kuhusu elimu ya Afya ya Macho na kukurahisishia kufahamu na kupata Huduma zetu.

Tunapima Afya ya macho kwa vifaa vya kisasa, tunatoa tiba ya afya ya macho na Miwani za kisasa.Tunatoa Elimu na ushauri wa Afya ya macho

12/08/2026

✨ NEW ARRIVALS! ✨
Your next favorite frame just landed. πŸ˜ŽπŸ‘“
Fresh designs, modern style, and comfort,...ready to elevate your look.

πŸ“ Visit SIKAF Eye Care and find the frame that speaks your style.

11/07/2026

🚨 OFA YA KUFUNGA SABASABA! 🚨

Zimebaki SIKU 2 TU! ⏳ (12 & 13 Julai)

Hii ndiyo nafasi yako ya mwisho kufaidika na CLEARANCE OFFER ya PUNGUZO LA MPAKA 70% kwenye miwani (badala ya 50%)! πŸ€©πŸ‘“

βœ… Ushauri wa afya ya macho BURE
βœ… Punguzo la mpaka 70% kwenye miwani
βœ… Ofa maalum kwa wanafunzi

πŸ“ Tutembelee kwenye Banda la Katavi karibu na Wizara ya Kilimo na geti la kuingilia.

πŸ“ž 0676 506 323

Usisubiri hadi ofa iishe. Karibu SIKAF Eye Care leo! πŸ‘οΈβœ¨

09/06/2026

πŸš—βœ¨ Umetumia miwani mbalimbali kuzuia Mwanga wa taa za magari usiku lakini bado unakusumbua?

Tunakuletea Special BlueCut Lens, lenzi ya kisasa inayopunguza mwanga mkali wa barabarani bila kuathiri uwezo wako wa kuona.

βœ… Mwanga mdogo, uoni bora
βœ… Mwonekano mzuri
βœ… Hudumu kwa muda mrefu

πŸŽ‰ Pata miwani hii kwa punguzo la 15% mwezi huu pekee!

πŸ“ Kariakoo, Gerezani – Mataa ya K**ata
πŸ“ž 0676 506 323

19/04/2026

K**a unapata changamoto ya macho na unaghairi kupima,sasa tumekurahisishia🀩.

Okoa muda na punguza gharama πŸš€

πŸ‘‰ Tembelea website ya SIKAF Eye Care
πŸ‘‰ Jaza taarifa zako ndani ya dakika 1 tu
πŸ‘‰ Pata punguzo la 50% ya vipimo vya macho

Ukifanya hivyo utaingia kwenye orodha ya wateja wataofanyiwa vipimo vyote kwa punguzo la 50% na utaokoa foleni.

Afya ya macho si kitu cha kusubiri!

πŸ”— Bonyeza link sasa, jaza taarifa zako na chukua hatua mapema.
Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323.

07/04/2026

WIKI YA WANAFUNZIπŸ†
Kuanzia tarehe 05 mpaka 10 mwezi huu wa 3,SIKAF Eye Care tumekuandalia mzazi/mlezi ofa ya wanafunzi itakayokuwezesha mtoto/mwanafunzi kupata Vipimo vyote kwa punguzo la 70% na matibabu ikiwemo miwani imara kwa punguzo la 30%.

Kumbuka ofa hii ni ya wiki hii tu.
Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323.⛳️

02/04/2026

Kila mtoto anastahili kupewa huduma ya Afya pale inapohitajika bila kujali kipato.Usisite kumleta mwanao SIKAF kwa ajili ya huduma Bora ya Afya ya macho.🀍

Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323πŸ“.

24/02/2026

One of our bright young clients enjoying different frame options 😍✨

Wazazi wengi wamekuwa wakikumbana na changamoto za miwani za watoto k**a kuvunjika kirahisi, kupauka rangi, au watoto kutopenda kuzivaa kabisa.

SIKAF Eye Care tumekuletea frame maalum za watoto zenye:
βœ” Muonekano mzuri na wa kuvutia
βœ” Imara na hazivunjiki kirahisi
βœ” Nyepesi, hazipauki na zisizochosha
βœ” Ofa maalum kwa watoto

Mpe mtoto wako miwani atakayoipenda na itakayodumu kwa muda mrefu.

Karibu SIKAF Eye Care uchague frame bora kwa mwanao leo! Wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323πŸ‘“βœ¨

K**a una sura ndogo na ulikuwa unahangaika kupata frame basi frame kwa ajili yako zimetufikia🀩.K**a mtoto wako amekuwa a...
28/01/2026

K**a una sura ndogo na ulikuwa unahangaika kupata frame basi frame kwa ajili yako zimetufikia🀩.
K**a mtoto wako amekuwa akivunja frame mara kwa mara basi zimetufikia frame ngumu zaidi na imara kwa ajili ya mtoto wako.
Frame maalum kwa ajili ya watoto na wale wenye sura ndogo zimefika SIKAF Eye Care.

Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,...wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323😊

19/01/2026

Ofa ya kipekee ya siku tano tu kwa wanafunzi!!!
Asilimia 80% ya vitu tunachojifunza inachangiwa na macho yetu.Mtoto anaporudi shule akiwa hana uwezo mzuri wa kuona hupelekea uelewa wake darasani kuwa chini.

Hakikisha mtoto anarudi shule akiwa na Afya imara ya macho,mlete SIKAF Eye Care kwa vipimo,matibabu na miwani kwa punguzo la gharama mpaka asilimia 30%.

Ofa hii ni kwa wanafunzi tu na mwisho ni tarehe 25/01/2026.
Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323.

23/12/2025

Usipitwe na ofa muhimu za sikukuu kutoka SIKAF Eye Care.
Katika mzimu huu wa Christmas na mwaka mpya ,tumekuandalia punguzo la 30% kwenye vipimo na 10% kwenye matibabu.πŸŽŠπŸŽ„

⚠️Kumbuka ofa hii ni kuanzia tarehe 24 Disemba mpaka 15 Januari. Kwa wanafunzi kutakuwa na Ofa zao maalum😍.

Tunapatikana Gerezani mataa ya K**ata,wasiliana nasi kwa simu namba 0676 506 323πŸŽ„

Address

SIKAF Eye Care, Gerezani Train Station
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:30 - 19:00
Tuesday 08:30 - 19:00
Wednesday 08:30 - 19:00
Thursday 08:30 - 19:00
Friday 08:30 - 19:00
Saturday 08:30 - 19:00
20:00 - 21:00

Telephone

+255676506323

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIKAF eye care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to SIKAF eye care:

Shortcuts

Share

Category