AfyaPlus

AfyaPlus Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AfyaPlus, Medical and health, Dar es Salaam.
(1)

👨‍⚕️ MATIBABU YA CHANGAMOTO ZA UZAZI WANAWAKE KWA WANAUME, KITAMBI NA UZITO MKUBWA NA MATATIZO WA LISHE.

✅✅ Nasaidia kutibu changamoto kuanzia chanzo cha tatizo na athari zake kwa TIBA za uhakika.
☎️ Kwa Tiba Na Ushauri Call/Whatsapp +255755518449

0755 518 449 MWANAUME, UNATAKA KUWA NA NGUVU ZA KIUME?Kuna kosa kubwa ambalo wanaume wengi wanafanya...Wanatafuta dawa z...
11/06/2026

0755 518 449
MWANAUME, UNATAKA KUWA NA NGUVU ZA KIUME?

Kuna kosa kubwa ambalo wanaume wengi wanafanya...

Wanatafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume huku wakipuuzia magonjwa yanayoharibu nguvu hizo kimyakimya.

⚠️ Kisukari ⚠️ Shinikizo la damu ⚠️ Magonjwa ya moyo ⚠️ Uzito kupita kiasi ⚠️ Uvutaji sigara ⚠️ Unywaji wa pombe kupita kiasi

Magonjwa haya huathiri mzunguko wa damu na uwezo wa mwili kufanya kazi zake ipasavyo.

Ndiyo maana wanaume wengi hutumia bidhaa mbalimbali lakini bado hawaoni matokeo wanayoyatarajia.

✅ Suluhisho si kuficha tatizo. ✅ Suluhisho ni kutibu chanzo chake kwanza.

Afya bora hujenga nguvu bora.

Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa zaidi.

📩 Andika "NGUVU" inbox upate mwongozo wa kitaalamu.

:::

0755 518 449 KOSA LA ELFU 20 LA GHARIMU MAMILIONI LEO.​Kuna makosa tunayafanya leo kwa sababu tu tunahisi tunajiepusha n...
09/06/2026

0755 518 449
KOSA LA ELFU 20 LA GHARIMU MAMILIONI LEO.
​Kuna makosa tunayafanya leo kwa sababu tu tunahisi tunajiepusha na gharama ndogo, lakini baada ya miaka miwili, kosa hilo hilo linakuja kutugharimu mamilioni ya pesa... na pengine uhai wetu.

​Tazama picha hii kwa makin👇🏼👇🏼

Huyo binti anayelia kwa uchungu pembeni yangu anaitwa Grace (sio jina lake halisi). Ana umri wa miaka 24 tu. Umri ambao bado ana ndoto nyingi za maisha mbele yake. Lakini leo hii, machozi yake hayana uwezo wa kufuta ukweli uliopo kwenye lile faili lililo mbele yetu: Figo zake zote mbili zimefeli (Chronic Kidney Disease).

​Sasa anahitaji huduma ya kusafisha damu (Dialysis) kila wiki ili aendelee kuishi. Huduma inayofika hadi laki tano kwa awamu moja. Kila wiki!
​Unajua chanzo cha dhoruba hii yote ni nini?
Sio uchawi, na wala sio ajali. Miaka miwili iliyopita, Grace alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kawaida sana: UTI ya kujirudia.
​Kila akisikia maumivu wakati wa kukojoa au akihisi homa, alikuwa anafanya kosa ambalo wengi wetu tunalifanya kila siku. Ananunua vidonge vya jero au buku moja duka la dawa, anameza, maumivu yakitulia anaendelea na maisha yake. Alidharau. Aliona kwenda kufanya vipimo vikubwa au kupata suluhisho la uhakika ni kupoteza muda na kutupa pesa.
​Hakujua kuwa yale bakteria ya UTI yalikuwa yanajenga ngome, yanavumilia yale madawa ya duka la dawa, na kuanza kupanda juu taratibu kuelekea kwenye figo zake. Leo hii, Grace anajuta. Ile elfu 20 au 30 aliyochuna kuitoa miaka miwili iliyopita kufanya check-up na kupata tiba sahihi, leo imegeuka kuwa mamilioni ambayo hana.
​Mwili wako sio spea ya gari.
Huwezi kwenda duka la vipuri na kununua figo nyingine kirahisi ukasitisha maumivu. Afya yako ndio uwekezaji wako mkubwa zaidi. Kujikinga au kugundua tatizo mapema huko hakuondolei pesa yako, bali kunaokoa maisha yako na pochi yako ya baadaye.
​Usiwe Grace mwingine wa kesho. Gharama ya kuzuia na kusafisha mfumo wako wa mkojo na figo ni ndogo mara 100 kuliko gharama ya kutibu figo zilizoharibika.
​K**a na wewe umekuwa ukisumbuliwa na UTI ya kujirudia, usidharau hata kidogo. Tunalo suluhisho sahihi, salama na lililothibitishwa kisayansi litakalosafisha mfumo wako wa mkojo na kulinda figo zako kabla mambo hayajafika huku.
​👇 Chukua hatua sasa hivi:
Bonyeza link iliyopo kwenye bio yangu hapa juu kupata ushauri wa bure na kujua suluhisho sahihi, au nitumie ujumbe wa moja kwa moja (DM),+255755518449 sasa hivi. Kumbuka, ugonjwa hausubiri uwe na pesa!. YaFigo

0755 518 449 Kuwa na chunusi usoni inaweza kuwa dalili mbaya ya tatizo lililoko mwilini.Kuna mtu alianza kuona chunusi u...
09/06/2026

0755 518 449
Kuwa na chunusi usoni inaweza kuwa dalili mbaya ya tatizo lililoko mwilini.

Kuna mtu alianza kuona chunusi usoni akadhani ni kawaida tu. Akasema zitapoa zenyewe, akatumia dawa za juu juu.
Lakini muda ulivyozidi kwenda, chunusi hazikuisha… ziliongezeka na kuacha madoa, uso ukabadilika kabisa.

Hakujua kuwa mwili wake ulikuwa unatoa “warning” kupitia ngozi. Wataalamu wa afya wanasema ngozi ni kioo cha ndani ya mwili, na chunusi zinaweza kuashiria mabadiliko ya homoni, sumu mwilini au changamoto za mfumo wa ndani.
Tatizo halikuwa uso pekee… lilikuwa ndani ya mwili.
Baada ya kupata ufahamu sahihi na matunzo ya chanzo, alianza kuona mabadiliko: chunusi zikapungua, ngozi ikawa safi na kujiamini kurudi.
Funzo: usipuuze dalili ndogo za mwili wako. Chunusi zinaweza kuwa ujumbe wa ndani ya mwili, si kila mara ni uchafu wa uso.

0755 518 449 🚨 UKWELI KUHUSU WANAUME NA MAAMUZI YA KIAFYA 🚨Wanaume wengi hawagonjeki ghafla…Wanaume wengi HUANGUKA polep...
09/06/2026

0755 518 449
🚨 UKWELI KUHUSU WANAUME NA MAAMUZI YA KIAFYA 🚨

Wanaume wengi hawagonjeki ghafla…
Wanaume wengi HUANGUKA polepole kwa sababu ya maamuzi yao wenyewe ya kiafya.

✔️ Wanachelewa kwenda hospital
✔️ Wanapuuza dalili za awali
✔️ Wanatumia dawa bila ushauri
✔️ Wanavumilia maumivu kimya kimya

Na mwisho wake…
tatizo dogo linakuwa kubwa sana.

🔥 Ukweli mchungu ni huu:
Wanaume wengi huenda hospitali wakiwa tayari wameshachelewa.

💔 Magonjwa k**a presha, kisukari, matatizo ya moyo na nguvu za kiume
hayaji kwa bahati mbaya…
yanajengwa na mtindo wa maisha na kutojali afya mapema.

⚠️ MWANAUME MAKINI HAFANYI HAYA: ❌ Hasubiri kuanguka ndo aende hospital
❌ Hajitibu mwenyewe mitandaoni
❌ Haoni aibu kupima afya yake

💡 MWANAUME MAKINI HUFANYA HAYA: ✔️ Hupima afya mara kwa mara
✔️ Husikiliza mwili wake mapema
✔️ Huchukua hatua kabla hali haijawa mbaya

Afya yako si ya kubahatisha.
Ni “investment” yako ya maisha yote.

🔥 USISUBIRI KUUMWA SANA NDIPO UAMUE KUTIBIWA…
Chukua hatua sasa kabla muda haujakupita.

08/06/2026

0755 518 449
Mpenzi wako akiwa na UTI sugu ,Kuna mamb magumu utakutananayo ukiwa unafanya tendo ,nimetaandika kwenye comment section, jitahidi usome

0755 518 449 🚨 UTI ya mara kwa mara si jambo la kupuuza.Watu wengi huona maumivu wakati wa kukojoa, kwenda chooni mara k...
07/06/2026

0755 518 449
🚨 UTI ya mara kwa mara si jambo la kupuuza.

Watu wengi huona maumivu wakati wa kukojoa, kwenda chooni mara kwa mara au maumivu ya mgongo wa chini na kudhani ni tatizo la kawaida.

Lakini maambukizi yanapoendelea bila kushughulikiwa ipasavyo, yanaweza kuathiri afya ya mfumo wa mkojo na figo kwa muda mrefu.

Dalili zinazohitaji umakini:

✔️ Maumivu au kuwaka wakati wa kukojoa
✔️ Kwenda chooni mara nyingi kuliko kawaida
✔️ Harufu kali ya mkojo
✔️ Maumivu ya mgongo wa chini
✔️ Maambukizi yanayojirudia mara kwa mara

Tunatoa ushauri na bidhaa za lishe zinazosaidia kuimarisha afya ya mwili na mfumo wa mkojo.

📞 Wasiliana nasi:
+255 755 518 449

0755 518 449 🚨 HUENDA HUNA KIBAMIA, HIZI NDIZO AINA MBILI ZA U'UME 🚨Wanaume wengi huingiwa na hofu wakiona uume wao ukiw...
07/06/2026

0755 518 449
🚨 HUENDA HUNA KIBAMIA, HIZI NDIZO AINA MBILI ZA U'UME 🚨

Wanaume wengi huingiwa na hofu wakiona uume wao ukiwa mdogo wakati wa kawaida. Ukweli ni kwamba kuna aina kuu mbili za uume.

✔️ Grower P***s Huu ni uume unaoonekana mdogo ukiwa umelala lakini huongezeka kwa kiasi kikubwa unapopata msisimko. Wanaume wengi duniani wana aina hii.

✔️ Shower P***s Huu huonekana mkubwa hata ukiwa umelala, lakini unapopata msisimko hauongezeki sana ukilinganisha na Grower.

Tatizo sio kuwa Grower au Shower...

Tatizo ni pale ambapo uume unashindwa kusimama vizuri, unalegea haraka, au nguvu za kiume zinapungua na kuathiri kujiamini chumbani.

✅ K**a unakabiliwa na kusimama kusikoridhisha ✅ Kuwahi kufika kileleni ✅ Kupungua hamu ya tendo ✅ Uchovu na nguvu za kiume kushuka

Tuna bidhaa za asili zinazosaidia kuimarisha afya ya mwanaume, stamina na kujiamini chumbani.

📞 Wasiliana nasi sasa kupata maelezo zaidi.

***s ***s

0755 518 449 🚨 MWANAUME, USIKUBALI KUISHI KWA HOFU CHUMBANI! 🚨Mashine yako ikisimama legelege katikati ya tendo, usikimb...
05/06/2026

0755 518 449
🚨 MWANAUME, USIKUBALI KUISHI KWA HOFU CHUMBANI! 🚨

Mashine yako ikisimama legelege katikati ya tendo, usikimbilie kuficha tatizo kwa visingizio.

✔️ Uchovu kupita kiasi
✔️ Msongo wa mawazo
✔️ Mzunguko hafifu wa damu
✔️ Lishe duni
✔️ Matumizi ya baadhi ya dawa

Vinaweza kuwa chanzo cha hali hiyo.

🔥 Habari njema ni kwamba kuna njia za kusaidia kurejesha nguvu, stamina na kujiamini kwako.

Usiendelee kuvumilia madharau kimya kimya wakati suluhisho lipo.

📞 Piga simu sasa: +255755518449

⚠️ SIO KUCHATI, PIGA SIMU MOJA KWA MOJA UPATE MAELEKEZO.

0755 518 449 🚨 PID NI TOFAUTI SANA NA UTI MWANAMKE USICHANGANYE! 🚨Wengi wanadhani maumivu ya tumbo la chini, kuchoma wak...
05/06/2026

0755 518 449
🚨 PID NI TOFAUTI SANA NA UTI MWANAMKE USICHANGANYE! 🚨

Wengi wanadhani maumivu ya tumbo la chini, kuchoma wakati wa kukojoa au kutokwa na uchafu usio wa kawaida ni UTI tu.

⚠️ Kumbe inaweza kuwa PID (Pelvic Inflammatory Disease) ambayo ikipuuzwa inaweza kuathiri uzazi wako.

Dalili zinazoweza kuonekana:

✔️ Maumivu ya tumbo la chini
✔️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
✔️ Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya
✔️ Homa za mara kwa mara
✔️ Kuchoma wakati wa kukojoa
✔️ Hedhi kuvurugika

Usikubali kuendelea kutumia dawa bila kujua tatizo halisi.

📞 Piga simu +255755518449 upate ushauri na bidhaa za kusaidia afya yako.

🚨 Usisubiri mpaka tatizo liwe kubwa zaidi. Chukua hatua mapema.

0755 518 449 🚨 UMEWAHI KUTUMIA ANTIBIOTICS NYINGI SANA? 🚨Watu wengi hutumia dawa mara kwa mara wakiamini zinatatua kila ...
05/06/2026

0755 518 449
🚨 UMEWAHI KUTUMIA ANTIBIOTICS NYINGI SANA? 🚨

Watu wengi hutumia dawa mara kwa mara wakiamini zinatatua kila tatizo, lakini baada ya muda mwili unaweza kuanza kuonyesha changamoto mbalimbali.

✔️ Uchovu usioeleweka ✔️ Kinga ya mwili kushuka ✔️ Maambukizi kurudia mara kwa mara ✔️ Mfumo wa mmeng'enyo kuvurugika

Usipuuze dalili hizo.

Tunayo suluhisho la lishe na bidhaa maalum zinazosaidia kuimarisha mwili na kurejesha afya yako baada ya matumizi ya dawa kwa muda mrefu.

📞 Piga simu sasa: +255755518449

Usichati, piga simu moja kwa moja upate maelekezo sahihi.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfyaPlus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share