LOK health laboratory

LOK health laboratory Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LOK health laboratory, Medical and health, Kisemvule, Dar es Salaam.

🔷️Healthcare education & Health talk 🔷️Mobile phlebotomy & Sample collection
🔷️ Laboratory medicine students' coaching 🔷️Health checkup packages
💙Health coaching

28/06/2026
20/05/2026

Zingatia ushauri huu ili uweze kupata majibu sahihi ya U.T.I
Huna haja ya kupanga foleni maabara kufanya CHECKUP. Tunakuja ulipo katika faragha ya kutosha kwa muda rafiki kwako: 0713050483

09/05/2026

Weka malengo yaishi ili ugonjwa wa usikupe madhara! Kipimo cha

08/05/2026

Unaelewa ukiambiwa upime MCHAFUKO WA DAMU?
Hivi hapa vipimo vi4 vya mchafuko wa damu! Kipi bora?!

28/03/2026

27/03/2026

Ukiona dalili za shambulio la moyo ujue ushachelewa! Jenga utamaduni wa kufanya CHECKUP. Ziba ufa usije kujenga ukuta. Hivi hapa vipimo vya maabara vitakavyoonyesha kam upo kwenye hatari ya kupata shambulio la moyo mapema. K**a una miaka 40 na zaidi, unaishi na kisukari, presha ya kupanda, uzingatii kanuni za afya k**a mlo kamili, mazoezi ... fanya cardiovascular health screening angalau mara moja kwa mwaka.

Address

Kisemvule
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOK health laboratory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to LOK health laboratory:

Shortcuts

Share