π€πŒπ€ππ” πŒπ€πƒπˆπ“π„π‚π‡ π‚πŽπŒππ€ππ˜ 𝐋𝐓𝐃.

  • Home
  • Tanzania
  • Dar es Salaam
  • π€πŒπ€ππ” πŒπ€πƒπˆπ“π„π‚π‡ π‚πŽπŒππ€ππ˜ 𝐋𝐓𝐃.

π€πŒπ€ππ” πŒπ€πƒπˆπ“π„π‚π‡ π‚πŽπŒππ€ππ˜ 𝐋𝐓𝐃. Call +255678632838.
🌐 Karibu sanaπŸ©ΊπŸŒ‘οΈπŸ“Ž

🌐Venda wa jumla na reja reja wa vifaa tiba na vifaa vya matibabu.
🌐Tunapatikana kariakoo mtaa wa omari Londo na kongo pamoja na kinondoni studio mkabala na shell ya brella.
🌐 Delivery tunafanya.

20/08/2026

PIMA PRESHA YAKO POPOTE, WAKATI WOWOTE! ❀️

Usisubiri mpaka presha ikupe changamotoβ€”kuwa na Blood Pressure Monitor nyumbani na fuatilia afya yako kwa urahisi. πŸ πŸ’―

✨ Rahisi kutumia
✨ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani
✨ Husaidia kufuatilia presha mara kwa mara

πŸ’° BEI NI 40,000/= TU!

πŸ“ž PIGA SIMU / WHATSAPP:
0678 632 838

πŸ₯ AMABU MEDITECH COMPANY
Vifaa tiba kwa afya bora na maisha bora. ❀️

πŸ”₯ AGIZA YAKO LEO! πŸ”₯

18/08/2026

🩸 HEMOCUE HB 201 β€” Kipimo cha Hb kwa Usahihi na Urahisi! 🩺

Boresha huduma zako za maabara kwa kutumia HemoCue Hb 201, mashine inayokuwezesha kupima kiwango cha Hemoglobin (Hb) kwa haraka na kwa ufanisi.

βœ… Rahisi kutumia
βœ… Matokeo ya haraka
βœ… Inafaa kwa vituo vya afya, hospitali na maabara
βœ… Mfumo wa kisasa na unaotegemewa

πŸ“¦ HemoCue Hb 201 inapatikana sasa!
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na bei.

17/08/2026

πŸ’— FETAL DOPPLER – Sikiliza mapigo ya moyo wa mtoto wako kwa urahisi! πŸ‘ΆπŸ©Ί

Fetal Doppler ni kifaa cha kisasa kinachokuwezesha kusikiliza na kufuatilia mapigo ya moyo wa mtoto tumboni.

✨ Digital display
✨ Rahisi kutumia
✨ Probe yenye sensitivity nzuri
✨ Design ndogo na inayobebeka
✨ Inafaa kwa matumizi ya kliniki na nyumbani kwa mwongozo unaofaa

πŸ“¦ FETAL DOPPLER INAPATIKANA SASA!

πŸ’° BEI: TSH 115,000/=

πŸ“ž Piga/WhatsApp: 0678 632 838

πŸ₯ AMABU MEDITECH COMPANY
Ubora β€’ Teknolojia β€’ Huduma ya Afya

16/08/2026

πŸ”¬ MICROSCOPES BORA KWA KAZI ZA MAABARA!

Unahitaji microscope yenye ubora, uimara na performance nzuri kwa matumizi ya maabara? πŸ”¬βœ¨

AMABU MEDITECH COMPANY tunakuletea microscopes zenye ubora kwa ajili ya:
πŸ§ͺ Medical & Clinical Laboratories
πŸ”¬ Research & Scientific Work
πŸŽ“ Vyuo na Taasisi za Elimu
πŸ₯ Hospitali na Vituo vya Afya

πŸ“Œ Ubora unaoonekana. Utendaji unaoaminika.

Usikubali microscope ya kawaidaβ€”chagua AMABU MEDITECH COMPANY. πŸ’―

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo ya bei, specifications na oda.

AMABU MEDITECH COMPANY β€” Your Trusted Medical Technology Partner. πŸ”¬πŸ©Ί

11/08/2026

🚨 WHEELCHAIR BORA KWA AJILI YA FARAGHA NA USALAMA♿️
Unatafuta wheelchair imara, yenye ubora na muonekano wa kisasa kwa matumizi ya nyumbani, hospitalini au safari? πŸ₯✨
βœ… Imara na yenye kudumu
βœ… Rahisi kutumia na kusukuma
βœ… Comfortable kwa mtumiaji
βœ… Inafaa kwa matumizi mbalimbali
βœ… Ubora unaoaminika kutoka AMABU MEDITECH COMPANY
πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa bei, maelezo zaidi na oda yako.
πŸ‘‰ AMABU MEDITECH COMPANY β€” Tunakuletea vifaa vya tiba kwa ubora unaostahili.
β™ΏοΈπŸ’™

10/08/2026

🩸✨ JUA KIWANGO CHAKO CHA HEMOGLOBIN KWA URAHISI! ✨🩸

Je, umewahi kujiuliza k**a kiwango chako cha damu kiko katika hali nzuri? πŸ€”

πŸ’‰ Easy Check – Kitchen Blood Hemoglobin inakusaidia kupata kipimo cha hemoglobin kwa urahisi na kwa haraka, ili uweze kufuatilia hali yako ya damu.

❀️ Afya yako ni muhimu β€” usisubiri mpaka ujisikie vibaya.
Fanya Easy Check na jijengee tabia ya kufuatilia afya yako.

πŸ“Œ Easy Check β€” Jua kiwango chako, linda afya yako!

πŸ“© Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi / kuagiza.

10/07/2026

🩺 Afya Yako ni Uwekezaji Bora! ❀️
AMABU MADITECH COMPANY LTD tunakuletea Digital Blood Pressure Monitor yenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya kufuatilia afya yako ukiwa nyumbani au ofisini.

βœ… Matokeo sahihi ndani ya sekunde chache
βœ… Inagundua mapigo yasiyo ya kawaida ya moyo (Arrhythmia)
βœ… Hifadhi ya kumbukumbu kwa watumiaji 2
βœ… Screen kubwa na rahisi kusoma
βœ… Rahisi kutumia kwa kila mtu
Usisubiri mpaka dalili zionekane. Pima presha yako mara kwa mara na linda afya yako pamoja na familia yako.

πŸ“ž Piga simu au WhatsApp: 0783 422 838
πŸ“¦ Tunafanya delivery popote ulipo.
AMABU MADITECH COMPANY LTD
Smart β€’ Accurate β€’ Reliable

01/06/2026

πŸ₯ AMABU MEDITECH COMPANY πŸ₯

Tunakuletia vifaa bora vya afya kwa matumizi ya nyumbani, kliniki, hospitali na vituo vya afya kwa bei nafuu na ubora wa uhakika.

βœ… Digital Thermometer – Tsh 38,000/= 🌑️ Kipimo cha haraka cha joto la mwili bila kugusa.

βœ… Blood Pressure Monitor (BP Machine) – Tsh 40,000/= ❀️ Pima presha yako kwa usahihi na urahisi ukiwa nyumbani au kazini.

βœ… Pulse Oximeter – Tsh 50,000/= 🫁 Pima kiwango cha oksijeni (SpOβ‚‚) na mapigo ya moyo kwa sekunde chache.

βœ… Mechanical Weight Scale – Tsh 100,000/= βš–οΈ Mizani imara na sahihi kwa kupima uzito wa mwili.

🎯 Ubora wa hali ya juu 🎯 Rahisi kutumia 🎯 Matokeo sahihi na ya kuaminika 🎯 Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na kitaalamu

πŸ“¦ Tunapatikana kwa oda za jumla na rejareja.

πŸ“© Tuma ujumbe sasa kupata maelezo zaidi au kufanya oda yako.

Thermometer InfraredThermometer PulseOximeter WeightScale MedicalDevices HospitalEquipment ClinicSupplies Healthcare AfyaKwanza MedicalStore TanzaniaBusiness DarEsSalaamBusiness HealthProducts MedicalTechnology AmabuMeditechCompany

01/06/2026

βš–οΈ PIMA UZITO WAKO KWA USAHIHI NA URAHISI! βš–οΈ

Tunakuletia mizani bora ya kupimia uzito kwa matumizi ya nyumbani, kliniki, hospitali na vituo vya afya.

βœ… Inapima hadi kilo 160 βœ… Usomaji rahisi na wa haraka βœ… Imara na yenye ubora wa hali ya juu βœ… Haina matumizi ya betri

πŸ’° Bei Maalum: Tsh 100,000/= tu

Wasiliana nasi leo kufanya oda yako na kupata huduma bora kwa wakati.

πŸ“ž Karibu AMABU MEDITECH COMPANY kwa vifaa bora vya afya na tiba.

ClinicSupplies MedicalDevices HealthcareSolutions TanzaniaBusiness DarEsSalaamBusiness AfyaKwanza MizaniYaUzito MedicalStore HealthEquipment QualityMedicalProducts InstagramBusiness FacebookMarketing BuyNow Tanzania AmabuMeditechCompany

16/05/2026

πŸ“’ TANGAZO LA ELECTRONIC BLOOD PRESSURE MONITOR πŸ“’
Afya yako ni muhimu! 🩺
Pata Electronic Blood Pressure Monitor ya kisasa kwa ajili ya kupima presha ukiwa nyumbani kwa urahisi na usahihi mkubwa. βœ…
✨ Faida zake:

βœ”οΈ Inapima presha kwa haraka na usahihi
βœ”οΈ Ina mfumo wa sauti (Voice Function)
βœ”οΈ Inasoma mapigo ya moyo
βœ”οΈ Hifadhi ya kumbukumbu hadi watu 2
βœ”οΈ Rahisi kutumia kwa kila mtu
βœ”οΈ Screen yenye mwanga mzuri kuonekana hata usiku
πŸ’° Bei Maalum: Tsh 40,000/= tu!
πŸ“¦ Tunapatikana kwa oda popote Tanzania.
πŸ“ž Wasiliana nasi mapema kupata kifaa chako.






Presha
TanzaniaHealth
MedicalDeviceTZ
AfyaYaJamii
NyumbaniSalama
DigitalBPMonitor
HudumaZaAfya
DarEsSalaam
Mwanza
Arusha
Dodoma
Zanzibar
TanzaniaNzima

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when π€πŒπ€ππ” πŒπ€πƒπˆπ“π„π‚π‡ π‚πŽπŒππ€ππ˜ 𝐋𝐓𝐃. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share