Dr. Odinga Bone Health Clinic

  • Home
  • Dr. Odinga Bone Health Clinic

Dr. Odinga Bone Health Clinic ACID REFLUX CONSULTANT
TUNATIBU MAGONJWA YA KOO, TONSILS STONE, ACID. PHARMACEUTICAL SUPPLEMENTS
USHAURI NA TIBA
TANZANIA, DAR
+255747717125.

28/07/2026

DAWA PEKEAKE HAIMALIZI TATIZO PASIPO KUZINGATIA MZIZI AU CHANZO CHA TATIZO

Kabla ya kuuliza ni dawa gani utumie, jiulize kwanza ni chakula gani unapaswa kubadilisha.
28/07/2026

Kabla ya kuuliza ni dawa gani utumie, jiulize kwanza ni chakula gani unapaswa kubadilisha.

28/07/2026

Kabla ya kuuliza ni dawa gani utumie, jiulize kwanza ni chakula gani unapaswa kubadilisha.

28/07/2026

TATIZO HALIPO KOONI PEKEAKE BALI LINAANZIA TUMBONI

28/07/2026

SHUHUDA

Acid Reflux haiponywi kwa dawa pekee—lishe yako ina mchango mkubwa. 🌿
28/07/2026

Acid Reflux haiponywi kwa dawa pekee—lishe yako ina mchango mkubwa. 🌿

28/07/2026

Acid Reflux haiponywi kwa dawa pekee—lishe yako ina mchango mkubwa. 🌿

27/07/2026

Globus sensation ni hali ya kuhisi k**a kuna kitu kimesimama, kimekwama au kuna donge kooni, lakini unapochunguza mara nyingi hakuna kitu halisi kilichoziba koo.

Dalili hii inaweza kuhisiwa k**a:

* Kitu k**a mpira/donge kooni
* Kubana au presha kwenye koo
* Kutaka kusafisha koo mara kwa mara
* Hisia ya ute mwingi kooni
* Ugumu wa kumeza mate (lakini mara nyingi chakula hupita kawaida)

Sababu zinazoweza kuchangia ni pamoja na:

1. Laryngopharyngeal Reflux (LPR) / Acid reflux ya koo
* Asidi au vimiminika vya tumboni kupanda hadi kwenye koo na kulichokoza.
* Inaweza kuleta kikohozi kikavu, sauti kukwaruza, koo kuwasha na globus sensation.

⚠️ Ni muhimu kumuona daktari k**a:

* Chakula kinakwama kweli wakati wa kumeza
* Unapungua uzito bila sababu
* Kuna maumivu makali wakati wa kumeza
* Unakohoa damu
* Sauti kubadilika kwa muda mrefu
* Dalili zinaendelea zaidi ya wiki kadhaa bila kubadilika

Kwa mtu mwenye LPR/GERD, kuboresha lishe, kuepuka kula karibu na muda wa kulala, kupunguza vyakula vinavyochochea reflux (k**a vyakula vya mafuta mengi, pilipili, kahawa kwa baadhi ya watu), na kuinua kichwa wakati wa kulala kunaweza kusaidia.

Hata hivi ushindwe et mwenetu???
27/07/2026

Hata hivi ushindwe et mwenetu???

27/07/2026

Makosa yanayofanya acid reflux yako isitulie hata K**a unatumia dawa

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Odinga Bone Health Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share