Elly Afya Tips

Elly Afya Tips NAWASAIDIA WANAWAKE NA WANAUME
KUBORESHA AFYA YA UZAZI
KWA USHAURI•HUDUMA•MATIBABU
WHATSAPP +255 679 599 622

14/07/2026

SABABU ZA FIGO KUHARIBIKA AU KUFELI

• Kisukari kisichodhibitiwa vizuri
• Shinikizo la damu la muda mrefu
• Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) yanayoenea hadi kwenye figo
• Kutumia dawa za maumivu (painkillers) mara kwa mara bila ushauri wa daktari
• Kunywa maji kwa kiwango kidogo kwa muda mrefu
• Mawe kwenye figo yanayoziba njia ya mkojo
• Magonjwa ya kurithi yanayoathiri figo
• Kuvuta sigara
• Magonjwa ya kinga ya mwili yanayoshambulia figo (k**a lupus)
• Kuziba kwa njia ya mkojo kutokana na tezi dume kuongezeka au sababu nyingine

Linda afya ya figo zako kwa kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara, kudhibiti kisukari na shinikizo la damu, na kutafuta matibabu mapema unapopata maambukizi ya njia ya mkojo au dalili nyingine zinazohusiana na figo.

13/07/2026

JIUNGE NA GROUP LETU LA WANAWAKE

Ada ni TSh 14,500 tu kwa mwaka mzima.

Kwa kujiunga utapata:

Elimu kuhusu afya ya uzazi wa mwanamke.

Mafunzo kuhusu maambukizi mbalimbali k**a UTI, fangasi, BV, PID na mengine.

Elimu kuhusu hedhi, ovulation, uzazi na kuongeza nafasi za kupata ujauzito.

Elimu kwa wajawazito kuhusu namna ya kutunza afya wakati wa ujauzito.
Mafunzo ya lishe bora kwa afya ya uzazi.

Mafunzo kuhusu njia mbalimbali za asili zinazoweza kusaidia kuboresha afya na kukabiliana na changamoto mbalimbali, sambamba na umuhimu wa kupata huduma za kitabibu pale inapohitajika.

Fursa ya kuuliza maswali na kupata elimu ya afya mara kwa mara.

Ada: TSh 14,500 tu kwa mwaka mzima.

Jiunge leo na uwe sehemu ya wanawake wanaojifunza na kuboresha afya zao kupitia elimu sahihi.

06/07/2026

MADHARA YA KUTUMIA P2
ZAIDI YA MARA MBILI KWA
MWAKA

06/07/2026

VYAKULA VYA KUBORESHA
MBEGU ZA KIUME

06/07/2026

NB:UKIPATA DALILI HIZI KWA PAMOJA NDIYO KUNA HATARI KUBWA ZAIDI YA MIMBA YAKO KUHARIBIKA AU KUTOKA HII NI KWASABABU DALILI HIZI ZINAWEZA KUINGILIANA NA CHANGAMOTO NYINGINE AU UJAUZITO WENYEWE HIVYO YAPASWA UWAHI HOSPITALINI

PIA DALILI HIZI NI ZA UTOKAJI WA MIMBA WA AINA ZOTE KWAMBA MEDICAL NA PROCEDURAL

05/07/2026

ACHA KUFANYA MAMBO
HAYA K**A WEWE
NI MJAMZITO

05/07/2026

VYAKULA VINAVYOMSAIDIA
MWANAMKE KUJIFUNGUA
VIZURI/KUJIANDAA NA
UCHUNGU WA UZAZI

05/07/2026

DALILI ZA MAAMBUKIZI YA
FANGASI UKENI KWA
WANAWAKE

04/07/2026

DALILI ZA MIMBA YA WIKI
MOJA-KUMI NA MBILI
[1-12]

04/07/2026

FAIDA ZA KUMEZA FOLIC ACID MIEZI 3 KABLA YA KUSHIKA UJAUZITO

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elly Afya Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share