Mostshare

Mostshare Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mostshare, Doctor, king'ongo, .

JE?: UNAFAHAMU MICHIRIZI HUTOKANA NA NINI?Hiyo michirizi hutokana na Mtu kupaka mafuta makali. Na ndio sababu wanawake w...
18/03/2026

JE?: UNAFAHAMU MICHIRIZI HUTOKANA NA NINI?

Hiyo michirizi hutokana na Mtu kupaka mafuta makali. Na ndio sababu wanawake wengi kuwanayo. Kuchunguza kiundani utaona kila mwenye michirizi ameshawahi kutumia mafuta makali au bado anatumia. K**a unataka michirizi wewe tumia mafuta makali. Hakuna yeyote anayeweza kuvutiwa na michirizi zaidi ya wale walio sikiya kutoka kwenye mitandao kwamba Mwanamke mwenye michirizi ni mtamu michirizi ni urembo wa asili na vituvingine k**a hivyo alafu wakaelewa naku kariri. Wengi wanaotoa masomo k**a haya huwa na michirizi hivyo hujipigia promotion na wale wanao kariri basi hutamani kukutana na mwanamke mwenye michirizi. Dawa acha kutumia vipodozi vikali, k**a umeumbwa mweusi ridhika na rangi yako. Kuna mafuta yawatu weusi ukitumia utavutia piya. Wapo wanaovutiwa na rangi nyeupe na wapo wanao vutiwa na rangi nyeusi tena hao ndio wengi na ndio maana ukaona wengi waliopo kwenye ndoa ni weusi na wanao onekana kwenye kumbi za starehe ni weupe. Japo sina maana kuwa kuumbwa mweupe ni kosa bali naongelea wale wenye rangi nyeusi lakini hawataki kuamini rangi zao

08/03/2026

[3/7, 18:47] Mc King Japhet: https://youtu.be/MvYtxZkwRTY?t=5&is=EDDLD8G-GMZ4UDMJ
[3/7, 18:56] Mc King Japhet: 🎶 NIMEACHIA ALBAMU YENYE NYIMBO MCHANGANYIKO AMBAYO NIMEIPA JINA LA (NEEMA JUU YA NEEMA) NAOMBA SANA SUPPORT YAKO KWENDA KUSIKILIZA INGIA YOUTUBE ANDIKA 👉👉 NEEMA JUU YA NEEMA MOSTSHARE KING UTAONA NYIMBO ZOTE– Mostshare King
Hii ni mkusanyiko wa nyimbo mchanganyiko kutoka kwa msanii Mostshare King zenye ujumbe wa matumaini, shukrani, upambanaji wa maisha na kumtukuza Mungu kwa neema zake nyingi. Kupitia nyimbo hizi utasikia simulizi za maisha, baraka za Mungu na motisha ya kuendelea kusonga mbele bila kukata tamaa.
Albamu Neema Juu ya Neema inaleta ladha tofauti za muziki ikiwemo nyimbo za kuabudu, nyimbo za kuhamasisha maisha na nyimbo zenye midundo ya kuchezeka.
🙏 Sikiliza na ushiriki muziki huu hapa:
▶ YouTube
▶ TikTok
▶ Facebook
▶ WhatsApp Status
🔎 Tafuta kwa jina:
Mostshare King – Neema Juu ya Neema
👍 Like
💬 Comment
🔁 Share kwa marafiki zako
MotivationMusic PraiseAndWorship Music2026 BongoMusic InspirationMusic

07/03/2026

🎶 NEEMA JUU YA NEEMA – Mostshare King
Hii ni mkusanyiko wa nyimbo mchanganyiko kutoka kwa msanii Mostshare King zenye ujumbe wa matumaini, shukrani, upambanaji wa maisha na kumtukuza Mungu kwa neema zake nyingi. Kupitia nyimbo hizi utasikia simulizi za maisha, baraka za Mungu na motisha ya kuendelea kusonga mbele bila kukata tamaa.
Albamu Neema Juu ya Neema inaleta ladha tofauti za muziki ikiwemo nyimbo za kuabudu, nyimbo za kuhamasisha maisha na nyimbo zenye midundo ya kuchezeka.
🙏 Sikiliza na ushiriki muziki huu hapa:
▶ YouTube
▶ TikTok
▶ Facebook
▶ WhatsApp Status
🔎 Tafuta kwa jina:
Mostshare King – Neema Juu ya Neema
👍 Like
💬 Comment
🔁 Share kwa marafiki zako
MotivationMusic PraiseAndWorship Music2026 BongoMusic InspirationMusic

06/03/2026

🙏 NEEMA JUU YA NEEMA – Mostshare King 🎶
K**a umebarikiwa na Mungu katika maisha yako, basi wimbo huu ni kwa ajili yako.
Neema ya Mungu ndiyo hutufikisha hapa tulipo hata k**a tunapitia changamoto nyingi.
Huu ni wimbo wa gospel unaozungumzia neema ya Mungu katika maisha yetu kila siku.
Hapa ni clip tu.
Sikiliza wimbo mzima YouTube kupitia channel yangu:
👉
Sikiliza • Like • Comment • Share kwa marafiki.
Artist: Mostshare King
Genre: Gospel
🔥 Subscribe kwa nyimbo zaidi
👍 Like
🔁 Share kwa marafiki
© 2026 Mostshare King. All Rights Reserved.

06/03/2026

🎵 WANASHANGAA NAWEZAJE – Mostshare King 🔥
Watu wengi wanajiuliza nawezaje kusimama baada ya changamoto zote za maisha…
Hii ndio story yangu kupitia muziki.
Listen • Like • Share
This song is officially owned by Mostshare King.
Unauthorized re-upload or use of this song without permission is not allowed.
© 2026 Mostshare King. All Rights Reserved.

STORY: MLINZI WA GETINISEHEMU YA 2Mtunzi: Mostshare KingNilisimama pale chumbani nikiwa k**a nimegandishwa na baridi. Sa...
03/03/2026

STORY: MLINZI WA GETINI
SEHEMU YA 2
Mtunzi: Mostshare King
Nilisimama pale chumbani nikiwa k**a nimegandishwa na baridi. Sauti ya Baba Diana iliendelea kuita nje, “Mama Diana! Mbona geti limefunguliwa nusu?”
Mapigo ya moyo yalinienda mbio kuliko hata mtu anayekimbia mbio za mwenge.
Nikatoka taratibu chumbani, nikanyata kuelekea nje k**a paka aliyeiba samaki. Nilipofika sebuleni, nikakutana uso kwa uso na Baba Diana. Macho yake yalikuwa makali, k**a mtu anayehisi kitu hakiko sawa.
“Vipi mlinzi? Mbona upo ndani?” aliuliza kwa sauti nzito.
Nikameza mate.
“Nilisikia kelele k**a kuna mtu ameanguka, nikaja kuangalia, mzee,” nikajibu kwa sauti ya kutetemeka kidogo.
Wakati huo Mama Diana alitoka chumbani kwake akiwa amejitanda kanga, akijifanya k**a ametoka usingizini.
“Kulikua na nini?” Baba Diana akauliza.
Mama Diana akamwangalia mumewe sekunde kadhaa kisha akasema, “Niliteleza kidogo bafuni, ila niko sawa.”
Nilimwangalia Mama Diana kwa macho ya shukrani. Alikuwa amenisitiri… sio siri usiku huo haukua mzuri kwangu kwani nilikesha niki gubikwa na mawazo. Nilikaa getini nikiwaza kuwa.

Mama Diana anajua ukweli wote. Je, nikipi kingetokea ni ipi ningeweza kumtizama mama Diana machoni!.

Kesho yake asubuhi, nikiwa nimesimama getini k**a kawaida, Mama Diana alikuja kuniita.
“Njoo hapa kidogo,” alisema kwa sauti tulivu lakini yenye uzito.
Nilimsogelea kwa hofu.
“Usijaribu tena kufanya ujinga ndani ya nyumba yangu,” alisema taratibu, “Lakini tambua kitu kimoja…nimegundua si kila unachokiona ndivyo kilivyo.”
Ila yote kwa yote upo vizuri na unayajua mambo.;
Maneno yake yalinichanganya sana mpaka
nikabaki nimepigwa na butwaa."

Je, alikuwa anamaanisha nini?
Je, Baba Diana ana siri nyingine kubwa zaidi?
Na je, safari yangu k**a mlinzi wa getini itaishia wapi?
Wakati nikiwa nawaza hayo, ghafla gari jeusi lisilojulikana liliingia taratibu getini…
Na hapo ndipo matatizo mapya yakaanza.
🔥 Je, nani yupo ndani ya lile gari?
🔥 Ni siri gani kubwa Mama Diana anaificha?
🔥 Baba Diana ni mkimya kwa sababu gani?
Usikose SEHEMU YA 3…

😁😁😁😁😁😁😁😁😁
29/12/2025

😁😁😁😁😁😁😁😁😁

FAHAMU FAIDA YA ALOE VERA KWA AFYA Aloe Vera ni mmea wa kijani kibichi, ambao hukua katika hali ya hewa yenye joto. Chan...
29/12/2025

FAHAMU FAIDA YA ALOE VERA KWA AFYA

Aloe Vera ni mmea wa kijani kibichi, ambao hukua katika hali ya hewa yenye joto. Chanzo chake cha afya kinahusiana na jeli ambayo hutolewa ndani ya majani yake.

Ingawa mmea huu unakuzwa ulimwenguni kote kwa sababu ya umaridadi wake na uwezo wake wa kutibu magonjwa, chimbuko lake ni Afrika.

Afrika Kusini ndio kitovu cha aloe vera ikiwa na zaidi ya aina 120 za mmea huo.

Mmea wa aloe vera unajumuisha zaidi ya viungo 75 vinavyofanya kazi, ikiwa ni pamoja na vimeng'enya, asidi ya amino, vitamini, na madini, na baadhi ya vitu hivyo vinaweza kutumiwa kutibu magonjwa.

Katika makala hii, tutaangazia manufaa na athari zilizopo katika matumizi ya aloe vera kwa ujumla.

Soma kwenye comment

FAIDA 6 USIZOZIJUA ZA MZUGWA/MVUGA.Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, Ni dawa ambay...
14/12/2025

FAIDA 6 USIZOZIJUA ZA MZUGWA/MVUGA.

Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke, Ni dawa ambayo imetumika kwa miongo mingi sana kutibia matatizo mbalimbali ya wanawake. Imethibitika kuwa na uwezo wa:-

1. Kusafisha Kizazi.
2. Kuzibua mirija ya uzazi
3. Inatibu kabisa matatizo ya chango la uzazi
4. Inapevusha haraka mayai hivo kupelekea mwanamke kuwahi kupata mimba.
5. Inarekebisha mfumo wa homoni wa mwanamke
6. Inarekebisha Mfumo wa hedhi na kutibia maumivu makali wakati wa Hedhi.

MATUMIZI

soma kwenye comment..

Kwa wale wanao sumbuka na maradhi mbali mbali msiache ku follow hii page pamoja na ku share pia tuna vitabu vya dawa mbali mbali zaku tibu mpaka magonjwa sugu tuna toa kwa gharama nafuu weka namba yako hapo kwenye comment tutakutafuta. Alli Kamwe Facebook Alaya F Jals King JUX

14/12/2025

Hayaaa! Kwa wale wenye watoto wanao kojowa kitandani njooni chap niwape suluhisho ndani ya wiki moja tuu mtoto ame pona

Je? Una mtoto mwenye kigugu mizi na ume angaika kwa watu mbali mbali na huja pata dawa? Wasiliana na Dr Mostshare upate ...
14/12/2025

Je? Una mtoto mwenye kigugu mizi na ume angaika kwa watu mbali mbali na huja pata dawa? Wasiliana na Dr Mostshare upate suluhisho la kudumu 0718844725

Address

King'ongo

Telephone

+255718844725

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mostshare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mostshare:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share