28/04/2026
Naitwa Shabani Mnkai
Mshauri Nasaha na Mnasihi (Psychological Counselor) – Dodoma, Tanzania
Nina shauku ya kusaidia watu kuboresha afya ya akili na kupata mwanga katika changamoto wanazopitia. Huduma zangu zinazingatia usiri, heshima, na ueledi wa hali ya juu.
💬 Huduma ninazotoa:
✔️ Msongo wa mawazo na wasiwasi (Stress & Anxiety)
✔️ Ushauri wa mahusiano na ndoa
✔️ Ushauri kwa vijana na makuzi
✔️ Msaada kwa wanafunzi wenye changamoto za kusoma au kuelewa (slow learners)
📍 Dodoma, Tanzania
📞 +255 713 068 762
📱 WhatsApp: +255 713 068 762
📧 [email protected]
Hashtags