Elimu Ya Bure Na Msaada Juu Ya Nguvu Za Kiume

Elimu Ya Bure Na Msaada  Juu Ya  Nguvu  Za Kiume Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elimu Ya Bure Na Msaada Juu Ya Nguvu Za Kiume, Vitamins/Supplements, Dodoma.

0718933496
16/11/2021

0718933496

16/11/2021
ZINGATIA HAYA KUIMALISHA MISULI YAKO YA UUME NA UWEZO KATIKA TENDO..1.Punguza uzito mkubwa na kitambi.Kitambi na uzito n...
16/11/2021

ZINGATIA HAYA KUIMALISHA MISULI YAKO YA UUME NA UWEZO KATIKA TENDO..
1.Punguza uzito mkubwa na kitambi.
Kitambi na uzito ni adui wa afya yako, si tu katika tendo la ndoa, kitambi ni chanzo cha magonjwa mengi.. wingi wa mafuta mengi mwilini huziba misuli yako ya uume..
2.Mazoezi ni muhimu sana kwa mwenye tatizo la uume kulegea
Watu wengi wanashindwa kusimamisha uume na kwa sababu tu mwili haupati damu ya kutosha kwenda sehemu mbalimbali. mazoezi husaidia kusukuma damu kwenye njia za uzazi.
3. Punguza msongo wa mawazo
Matatizo ya kisaikologia k**a msongo wa mawazo huathiri uwezo wako wa kufanya Tendo kwa uzuri na kukupelekea heshima ya ndoa kupungua, hivo hakikisha unabalance kazi za kimaisha zisiathiri tendo la ndoa.

4..Punguza Vyakula Vya Ngano na Sukari
Epuka vinywaji vyote vyenye sukari nyingi,vya kusindika. Vyenye vionjo vya sukari, rangi na ladha katika afya yako kwani vyakula hivyo ni adui mkubwa sana wa afya yako. Hasa wakati unataka kurudisha nguvu za kiume.
5.Tumia virutubisho
Hakikisha mwili wako unaupa madini ya msingi k**a zinc,chuma, selenium, manganese na vitamin nyingi. Madini haya ndiyo yanafanya mwili wako ufanye kazi katika kiwango stahiki kwani huwezesha viendesha shughuli za mwili yani enzymes kufanya kazi katika kiwango kizuri na kuimarisha mwili..

Piga simu +255718933496

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00

Telephone

0716160141

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimu Ya Bure Na Msaada Juu Ya Nguvu Za Kiume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share