GowAfya

GowAfya �PATA SULUHISHO KAMILI LA CHANGAMOTO ZA UZAZI
�TIBA NA USHAURI
�ELIMU YA AFYA YA UZAZI

27/12/2025

“When I listened to this song, I didn’t just hear music — I felt the message.
The vocals, arrangement, and emotions blend together with remarkable excellence.
Congratulations on this outstanding work; this is more than a song, it’s art.
Your number one fan from Tanzania 🇹🇿❤️🎶”

25/12/2025

Nachukua fursa hii kuwatakia nyote Krismasi Njema iliyojaa furaha, amani na baraka.
Katika msimu huu wa sikukuu, tunawakumbusha wazazi na walezi kuwa waangalifu zaidi na watoto wetu, kwa kuhakikisha usalama wao wanapokuwa katika matembezi na sherehe mbalimbali.
Tunatoa pole ya dhati kwa wagonjwa wote walioko hospitalini na majumbani, kwa wale walioko katika vifungo, pamoja na wote wanaopitia changamoto za aina yoyote.
Tunaomba mkono wa Mungu uwaguse kwa namna ya pekee, uwape faraja, nguvu na matumaini mapya.
Krismasi Njema kutoka GlowAfya — Afya, Amani na Upendo kwa Wote.

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GowAfya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category