Annahnutritionpoint

Annahnutritionpoint Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Annahnutritionpoint, Medical and health, Njombe.

15/07/2026

Akikumbuka amemlisha tray la mayai mwezi mzima ,uji lishe na parachichi ,maziwa ya msukuma yasiyoongezwa maji
lakini wapiii
😃😃

Gudubye



15/07/2026

📌 Kwa kifupi:
Folic Acid ➡️ Ukuaji wa awali wa mtoto kuzuia changamoto za kuzaliwa k**a mgongo wazi na matatizo ya fuvu na ubongo

FEFO ➡️ Iron + Folic Acid, kusaidia kuzuia anemia (upungufu wa damu ) kwa mama

Tumia nyongeza (Supplement)
Ila usisahau Lishe bora

🥬 Vyanzo vya Folate kwenye chakula: Mboga za majani ya kijani, broccoli, njegere, kunde/chickpeas na mchele wa brown.

🥩 Vyanzo vya Iron: Nyama, maharage, dengu/kunde, mboga za majani ya kijani, karanga na matunda yaliyokaushwa.



14/07/2026

Hello My akili ya lishe family

Mtoto wako amefika miezi 6 Ndiyo huu ndo muda sahihi wa kuanza kumuonyesha ulimwengu wa chakula

Soma taratibu
Na useme nini ambacho hujakifanya bado

Na usisite kutufuatiliaaaaaa ili uweze kupata elimu sahihi ya lishe ya mtoto,mjamzito na familia kwa ujumla



14/07/2026

Address

Njombe

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Annahnutritionpoint posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share