St. Gaspar Referral and Teaching Hospital

St. Gaspar Referral and Teaching Hospital The St. Gaspar Referral and Teaching Hospital is a national referent center in Tanzania.

"Cure, educate, console" is the motto of the hospital and it expresses the true identity and the real nature of the mission of the hospital.

22/06/2026

TANGAZO MUHIMU!

KARIBUNI!📅 Tarehe: 22-26/6/2026📍 Mahali: Hospitali ya Rufaa na Mafunzo St. Gaspar – Itigi
19/06/2026

KARIBUNI!

📅 Tarehe: 22-26/6/2026

📍 Mahali: Hospitali ya Rufaa na Mafunzo St. Gaspar – Itigi

KARIBUNI!📅 Tarehe: 22-26/6/2026📍 Mahali: Hospitali ya Rufaa na Mafunzo St. Gaspar – Itigi
18/06/2026

KARIBUNI!

📅 Tarehe: 22-26/6/2026

📍 Mahali: Hospitali ya Rufaa na Mafunzo St. Gaspar – Itigi

16/06/2026

Famasia si dawa pekee, ni huduma, elimu na ulinzi wa afya ya jamii. Hongereni wafamasia wetu na kote duniani!

HUDUMA MKOBA.Kitengo chetu cha Kliniki ya Mama,Baba na Mtoto(RCH) hufanya ziara katika vijiji vilivyopo maeneo ya mbali ...
13/06/2026

HUDUMA MKOBA.

Kitengo chetu cha Kliniki ya Mama,Baba na Mtoto(RCH) hufanya ziara katika vijiji vilivyopo maeneo ya mbali ilikutoa huduma za afya kwa jamii.

Tunawapongeza wanakijiji wa Kazikazi kwa mwitikio

Matibabu ya Mdomo wazi na Mdomo sungura ni BURE hapa Hospitali ya Rufaa na Mafunzo St.Gaspar Itigi.    Smile Train
12/06/2026

Matibabu ya Mdomo wazi na Mdomo sungura ni BURE hapa Hospitali ya Rufaa na Mafunzo St.Gaspar Itigi.

Smile Train

Miwani maalumu za kusomea kwa wenye uoni hafifu bado zipo,wahi mapema kabla hazijaishaKUMBUKA: BIMA haitumiki katika zoe...
11/06/2026

Miwani maalumu za kusomea kwa wenye uoni hafifu bado zipo,wahi mapema kabla hazijaisha

KUMBUKA: BIMA haitumiki katika zoezi
hili.

SightsaversHalmashauri ya Wilaya ya ManyoniWizara ya Afya TanzaniaHospitali ya rufaa mkoa wa dodoma

Ikiwa una changamoto hizo au unamfahamu mtu mwenye changamoto hizo TAFADHALI WASILIANA NASI    Au tupigie +255 755 454 0...
09/06/2026

Ikiwa una changamoto hizo au unamfahamu mtu mwenye changamoto hizo
TAFADHALI WASILIANA NASI

Au tupigie +255 755 454 040, +255 784 738 432, +255 764 077 625, +255 769 956 853.

06/06/2026

Mguu kifundo ni aina ya ulemavu ambao mtoto anazaliwa nao baada ya kupatikana na hitilafu katika mifupa ya kwenye nyayo.

Hata hivyo tatizo hili LINATIBIKA, wahi tiba mapema

Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Mt.Gaspar-Itigi inatoa matibabu hayo BURE


Humanitas University Wizara ya Afya Tanzania Singida Manispaa
Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Singida HalmashauriHospitali ya rufaa mkoa wa dodoma

Wodi yenye vifaa vya kisasa ya matibabu kwa watoto wachanga wenye umri kuanzia siku 0-28 (NICU) imeanza kutoa huduma ras...
04/06/2026

Wodi yenye vifaa vya kisasa ya matibabu kwa watoto wachanga wenye umri kuanzia siku 0-28 (NICU) imeanza kutoa huduma rasmi.

Huduma zinazotolewa ni huduma za kawaida kwa watoto wachanga ,huduma kwa watoto njiti(premature babies)na huduma za uangalizi maalumu kwa watoto wachanga.

ya Wilaya ya ManyoniHospitali ya rufaa mkoa wa dodomaSingida Manispaa

Address

Itigi
12

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. Gaspar Referral and Teaching Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to St. Gaspar Referral and Teaching Hospital:

Shortcuts

Share

Category