23/10/2026
Nimeirudia zaidi ya mara 100 bado sijapata neno la kusema zaidi ya kusema ni Alikiba kwenye BongoFlava
Hammer Q Hebu subiri Kwanza tusikilize na tuenjoy mziki mzuri maana hii iliyofanyika hata kwako ni kitu kikubwa Sana
So Achana na Dada Suma anakufanya uongee kisichopaswa kuongea