TANNA TRRH

TANNA TRRH Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TANNA TRRH, Medical and health, Kibaha.

Leaders forum Morogoro
01/08/2026

Leaders forum Morogoro

Wauguzi wakifatilia wasilisho kutoka kwa Muuguzi ambapo kwa wauguzi wa Hospitali ya Tumbi hufanya mawasilisho ya mada mb...
22/07/2026

Wauguzi wakifatilia wasilisho kutoka kwa Muuguzi ambapo kwa wauguzi wa Hospitali ya Tumbi hufanya mawasilisho ya mada mbalimbali kila siku ya Jumatano ya kila wiki lengo likiwa nikuendelea kujengeana uwezo na kuongeza maarifa kwa wauguzi wetu ambapo itasaidia kuboreshaa huduma zetu

Wauguzi na wakunga wa hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi washiriki, mbio za Wauguzi na wakunga Dodoma marathon zili...
15/06/2026

Wauguzi na wakunga wa hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi washiriki, mbio za Wauguzi na wakunga Dodoma marathon zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. HQ Tanzania TANGA CHA WAUGUZI

30/05/2026
28/05/2026

Siku ya pili ya maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani kwa TAWI la hospital ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi ambapo elimu ya Uchumi na fedha pamoja na elimu ya Afya zilizotolewa na wataalam mbalimbali kutoka #.amis # #

23/05/2026

Ni kuanzia tarehe 26/05 Hadi 29/05 ambapo itakuwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani kwa TAWI la Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Pwani -Tumbi likitanguliwa elimu ya fedha kutoka kwa watoa mada mahiri #.amis pamoja elimu ya Afya itakayotolewa na wataalam mbalimbali ikiwemo namna ya kukabiliana na changamoto ya Afya ya akili ,vilevile Tutakuwa na michezo mbalimbali.

12/05/2026

Heri ya siku ya wauguzi Duniani ambapo siku hii huadhimishwa kila 12/05 ya kila mwaka ambapo kwa mwaka huu 2026 Maadhimisho haya kitaifa yanafanyika Mkoani Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa AICC

Address

Kibaha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745104165

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TANNA TRRH posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share