29/05/2026
π΄ UNALALA... LAKINI HUPUMZIKI?
Usingizi ni wakati mwili unapojirekebisha, kujijenga upya na kurejesha nguvu. Ikiwa unapata shida ya kulala au unaamka ukiwa umechoka, huenda chanzo si usingizi pekee.
Changamoto za homoni, msongo wa mawazo, menopause, andropause au matatizo ya thyroid zinaweza kuathiri ubora wa usingizi wako.
Dalili za kuangalia:
β Kukosa usingizi
β Kuamka mara kwa mara usiku
β Uchovu wa asubuhi
β Kukosa nguvu mchana
β Mabadiliko ya hisia
Cornwell Tanzania Naturopathic Institute & Clinic tunakusaidia kutambua chanzo cha tatizo na kukupa mwongozo wa kitaalamu kupitia Naturopathic Integrative Medicine.
π 0713306263 / 0626888111
Afya njema huanza na usingizi bora. NaturalHealing CornwellTanzania