20/07/2026
Afya yako ndiyo mtaji wako mkuu.
Je, lini mara ya mwisho uliikagua afya yako kwa kina?
Lupimo Sanitarium Clinic tunakupa nafasi ya kipekee ya kufahamu mwenendo wa afya yako.
✅ Lipia TSh 10,000 tu ya kufungua faili.
✅ Vipimo vyote vya mwili mzima ni BURE KABISA.
✅ Ukigundulika na changamoto yoyote, unapata PUNGUZO LA HADI 30% kwenye matibabu.
Ofa inadumu kuanzia 20/07/2026 hadi 08/08/2026.
Fika katika vituo vyetu vyote nchi nzima.
Wasiliana nasi: 0753 594 938.
Usisubiri dalili zionekane, chukua hatua leo.