16/10/2026
Chezea mimba wewe... π€£ππ
Changamoto ninayopitia ni vile k**a mke wangu simwelewi elewi,ana ujauzito wa miezi mitano na mtoto wetu wa kwanza
Lakini hataki kabisa Mimi nioge! Anasema anavutiwa na harufu yangu ya kwapa,usiku kucha analala pua yake ameiweka kwenye kwapa langu nalazimika ninyoshe mkono mpaka unapata ganzi
Lakini tofauti yake yeye mimba imempenda sana na anaoga hata mara nne kwa siku anapendeza kuliko kawaida na Kila mmoja anamsifia,lakini Mimi hataki kabisa niguse maji
Nikioga mara moja tuu kwa siku ananuna anaweza asile siku nzima.
Vp rosoroso gani lilikusumbua kipindi cha mimba...!??