FILO na BELLE PADS

Call Directions

FILO na BELLE PADS Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FILO na BELLE PADS, Medical Center, Mwamza.

02/04/2026

Mwalimu wa make-up akieleze jinsi anavyo tumia juhudi kubwa kuhakikisha vijana wetu wanaelewa

WASILIANA NASI
0677555550

WERE THE BEST ALWAYS
01/04/2026

WERE THE BEST ALWAYS

01/04/2026

Mwalimu wa ususi akizungumzio mwitikio wa wana funzi kwenye kujifunza ususi na ndoto zake kiujumla

Tunapokea wanafunzi wa fani mbalimbali
â—ŹMAPAMBO
â—ŹUSUSI
â—ŹMAKE-UP

Chuo chetu kinapatikana balabala ya rufiji.

Karibu nifo beauty college wasiliana nasi 0677555550
31/03/2026

Karibu nifo beauty college wasiliana nasi
0677555550

31/03/2026

🎓 KARIBU KUJIUNGA NA CHUO CHETU – MWANZA (MTAA WA RUFIJI KARIBU NA MSIKITINI WA MIRONGO)
Chuo chetu kinatoa mafunzo ya vitendo na kitaalamu kwa wanafunzi wa kutwa na bweni, kwa lengo la kukuwezesha kujiajiri au kuajiriwa mara baada ya kumaliza masomo.

📚 KOZI ZINAZOTOLEWA:
âś” Ususi wa Kisasa (Professional Hair Braiding)
âś” Makeup ya Kitaalamu
âś” Mapambo
âś” Communication Skills
âś” Computer

Mafunzo yetu ni ya vitendo zaidi, yakikupa ujuzi wa kuanza kazi mara moja.

🏠 TUNA WANAFUNZI WA:
Wanafunzi wa Kutwa

Wanafunzi wa Bweni

🌟 KWANINI UCHAGUE CHUO CHETU?
➡️Mafunzo ya vitendo kwa asilimia kubwa

➡️Walimu wenye uzoefu

➡️Mazingira mazuri na salama

➡️Mafunzo ya ziada ya Communication Skills na Computer

Tunakuandaa kujitegemea na kujiajiri

📍 Tunapatikana: Mwanza
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na usajili.+255 677 555 550

Nafasi ni chache, jiunge sasa ujenge maisha yako ya baadaye!

10/02/2026
05/02/2026

Hard work pays off, karibu sana , jiunge na hiki chuo utengeneze maisha yako ya baadae

Address

Mwamza
028

Telephone

+255759665555

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FILO na BELLE PADS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category