12/03/2026
NJIA RAHISI ZAIDI YA KUPEVUSHA MAYAI BAADA YA HEDHI.🤰👩🍼
Chukua tangawizi kipande kimoja, manjano ya unga kijiko kimoja cha chai na pilipili manga ya unga kijiko kimoja.
Chemsha kwa pamoja kwa kutumia maji vikombe viwili. Chuja weka asali vijiko viwili unywe asubuhi kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja kabla ya kula chochote.
Tumia chai hii ikiwa ya moto baada ya kumaliza hedhi mpaka siku za hatari ziishe.
Ni nzuri sana itakusaidia pia:👇
1. Kutibu uvimbe kwenye mayai (Ovarian Cyst).
2. Kuondoa harufu mbaya ukeni.
3. Kuondoa maumivu makali wakati wa siku za hatari.
4. Kuondoa miwasho na fangasi baada ya hedhi zilizotokana aidha na hedhi yenyewe, pedi au vyote kwa pamoja.
5. Kusafisha ukuta wa mimba na kuweka sawa homoni ya Progesterone.
5. Usisahau kuleta mrejesho na wengine wajifunze na kuhamasika.🤰👩🍼