Dr Benard Kisamba

Dr Benard Kisamba Stem Cell Therapist

Ushauri Bure Kuhusu Matibabu Sahihi Ya Magonjwa Sugu

🪼"" *FAHAMU UGONJWA WA INI TIBU HOMA YA INI KABLA HAIJAANZA KUKUPA MADHARA MAKUBWA..""* 🫵*Je, unajua kuhusu hatari ya ho...
01/07/2025

🪼"" *FAHAMU UGONJWA WA INI TIBU HOMA YA INI KABLA HAIJAANZA KUKUPA MADHARA MAKUBWA..""*

🫵*Je, unajua kuhusu hatari ya homa ya ini?

✍️ *Homa ya ini ni* ugonjwa unaoathiri ini na unaweza kusababisha madhara makubwa

✍️*Homa ya ini Inaweza kuwa ya muda mfupi (acute hepatitis ) au ya muda mrefu (Chronic Hepatitis ) na zote huweza kuona dalili za haraka au usione dalili za haraka.

🔎 *Aina za homa ya ini ni pamoja na Hepatitis A, B, C,D na E*.

✍️ *Homa ya ini ya B na C husambaa kupitia*
👉 damu,
👉mate,
👉ngono isiyo salama, au
👉 mama kwa mtoto, Nk.

*Dalili za hatari za homa ya ini ni pamoja na

*💧Uchovu mwingi

*💧Kichefuchefu na kutapika

*💧. Homa kali nyakati za jioni

*💧Macho na ngozi kuwa ya njano (jaundice)

*💧Maumivu sehemu ya juu ya tumbo upande wa kulia

*💧. Maumivu ya viungo, misuli na vichomi vya tumbo /gesi kali ya tumbo, Nk

Madhara ya homa ya ini yanaweza kuwa yafuatayo,

*✅. Uvimbe wa ini

*Ini huvimba na kushindwa kufanya kazi vizuri.*

*✅. Uchovu sugu

*Mgonjwa huhisi uchovu wa mara kwa mara hata bila kufanya kazi ngumu.

*✅. Njano ya macho na ngozi (jaundice)

*Ini linaposhindwa kuchuja bilirubini, ngozi na macho hugeuka ya njano.

*✅. Maumivu ya tumbo upande wa kulia juu chini ya mbavu

*Maumivu yanatokana na uvimbe wa ini au shinikizo

*✅. Kupungua uzito na hamu ya kula*

*Mgonjwa hupoteza hamu ya kula na kupungua uzito

*✅. Kuvimba miguu na tumbo (ascites)

*Hii hutokea hasa kwenye homa ya ini sugu (chronic hepatitis) au ugonjwa wa cirrhosis.

*✅. Kushindwa kwa ini (liver failure)

*Ini hushindwa kabisa kufanya kazi, hali inayoweza kuhatarisha maisha

*✅. Uwezekano wa kupata saratani ya ini*

*Hasa kwa wanaoishi na hepatitis B au C ya muda mrefu

*✅. Mabadiliko ya kiakili (hepatic encephalopathy)

*Ini likishindwa kuchuja sumu, zinafika kwenye ubongo na kusababisha kuchanganyikiwa, usingizi mwingi au hata kupoteza fahamu

🫵*Linda afya yako na ya familia yako!

🫵*Tembelea kituo

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Benard Kisamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share