27/07/2023
FAHAMU KUSUHU VIDONDA VYA TUMBO NA AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO PAMOJA NA MATIBABU YAKE KUTOKA BRIGHTER FUTURE PHARMACEUTICAL COMPANY 🇺🇲 BFSUMA ♀️♂️
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO:
Vidonda vya tumbo Vimegawanyika KATIKA Makundi Makuu Mawili Ambayo Ni
✍️1) VIDONDA VYA TUMBO KUBWA.
Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa (stomach).
Vidonda hivi vya tumbo hujulikana kwa kitaalamu k**a Gastric ulcers.
✍️2) VIDONDA VYA UTUMBO MDOGO.
Hivi ni vidonda vya tumbo ambavyo hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa DUODENUM.
√√📌SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO:
Yafuatayo ni mambo yanayomuweka mtu katika hatari ya kupata vidonda vya tumbo ambayo ni pamoja na;
1) Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori).
2) Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine).
3) Msongo wa mawazo.
4) Kula vyakula vinavyozalisha asidi kwa wingi.
5) Kunywa pombe na vinywaji vikali kupitiliza.
6) Uvutaji wa sigara.
7) Kutokula mlo kwa mpangilio.
8) Kansa ya tumbo.
📌DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO:
Zifuatazo ni DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO Ambazo NI PAMOJA na;
1) Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula.
2) Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo.
3) Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa.
4) Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu.
5) Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu.
6) Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito.
7) Kushindwa kupumua vizuri.
Kwa Elimu, Ushauri Pamoja Na Tiba Wasiliana Nami
☎️0715567063
☎️0764452078
WhatsApp Call And Msg
page 📄 sambo-Nutrition
BF Suma Africa