08/09/2026
π Atakayejibu vizuri zaidi atapata EBOOK BURE KABISA! π
π Lakini hii ni LAUNCH GIVEAWAY tu!
Nitaendelea kupost maswali hadi tupate washindi 5, watakaopata Ebook 5 bure ndani ya mwezi huu. ππ
π Sharti: Lazima ujibu maswali yote mawili kwa usahihi na utoe maelezo. Sio swali moja pekee.
π₯ Stay tuned! Post inayofuata nitakuachia maswali mengine 2.
Je, unaijua lishe kweli? Tuone kwenye comments! ππ½
π Akili ya Lishe Nutrition Brand
Kula kwa akili, ishi kwa afya.