16/03/2024
asalam alaykem hivi unajua thamani wa huu mmea ukweli tiba kubwa katika maisha yako kwanza huu mmea unasifa kuu saba
1.Hungua rizki sugu zilizofugwa
2.Huondosha jini mwilini
3.Kuleta mvuto wa nyota haraka
4.kuondosha nuksi na mikosi
5.Uleta amani katika nyumba au familia
6.Kutibu ngivu za kiume kwa haraka
7.Hutibu vidonda vya tumbo au ngili maji