Aziza cleaners

Aziza cleaners Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aziza cleaners, Home Health Care Service, P. o Box 958, Tanga, Tanzania, Tanga.

12/02/2024

MAFUNZO BURE🥳🥳

Jinsi ya kuondoa uchafu sugu katika Tiles na Masink

Je umehangaika kutumia dawa mbali mbali zakuondoa uchafu sugu kwenye tiles na Masink bila mafanikio ?

k**a jibu ni NDIO basi nna habari njema sana kwako leo

Nimeandaa mafunzo maalum ya BURE ambayo yatakusaidia kuondokana na uchafu sugu katika Tiles na Masink kwa haraka zaidi 👌

Ndani ya Darasa hili utajifunza

1.Sababu za uchafu sugu

2.Vifaa sahihi vyakutumia unapo safisha sehemu iliyo na uchafu sugu katika Tiles na Masink

3.Bidhaa za usafi ambazo ukizichanganya unapata matokeo mazuri unapo safisha sehemu iliyo na uchafu sugu

4.Jinsi ya kuzuia kujirudia kwa tatizo hili la uchafu sugu katika Tiles na Masink

Na mengine mengi sana utajifunza kupitia masomo haya

Kujiunga na Darasa hili moja kwa moja Bofya neno Learn more

Kumbuka Darasa hili ni Bure kabisa hakuna gharama yoyote kupata masomo haya

Ni mimi mwenye kujali Usafi na Afya ya Familia yako
Mwalimu wa usafi
Aziza
https://chat.whatsapp.com/JkjvvYFQKm25uLgxTNP0IT

Home healthcare service

*JE UNAFAHAMU BIDHAA TATU AMBAZO UKIZICHANGANYA UNAONDOKANA NA UCHAFU SUGU KWENYE TILES NA MASINKI?**K**A HUFAHAMU INGIA...
12/08/2023

*JE UNAFAHAMU BIDHAA TATU AMBAZO UKIZICHANGANYA UNAONDOKANA NA UCHAFU SUGU KWENYE TILES NA MASINKI?*
*K**A HUFAHAMU INGIA DARASANI UJIFUNZE MBINU MBALI MBALI ZA USAFI WA NYUMBANI KWAKO*
https://chat.whatsapp.com/DfQT5vpbqU25pxbkgAAGFn

*K**A HUFAHAMU INGIA DARASANI UJIFUNZE MBINU MBALI MBALI ZA USAFI WA NYUMBANI KWAKO*Bonyeza neno lernmore uingie darasani moja kwa moja
https://chat.whatsapp.com/DfQT5vpbqU25pxbkgAAGFn

*JE UNAFAHAMU BIDHAA TATU AMBAZO UKIZICHANGANYA UNAONDOKANA NA UCHAFU SUGU KWENYE TILES NA MASINKI?**K**A HUFAHAMU INGIA...
11/08/2023

*JE UNAFAHAMU BIDHAA TATU AMBAZO UKIZICHANGANYA UNAONDOKANA NA UCHAFU SUGU KWENYE TILES NA MASINKI?*
*K**A HUFAHAMU INGIA DARASANI UJIFUNZE MBINU MBALI MBALI ZA USAFI WA NYUMBANI KWAKO*

WhatsApp Group Invite

15/07/2023
15/07/2023

Je umehangaika kwa muda mrefu ukitafuta suluhisho la uchafu ulioshindikana kwenye tiles na masinki na pia kuondoa uchafu wa sofa kwa rahisi?
Bas suluhisho ni aziza cleaners wamekuandalia dawa iliochanganywa na Chemical zenye uwezo wa kuondoa kabisa uchafu sugu kwenye tules na masinki.pia ipo sabuni maalumu kwa ajili ya kusafisha sofa aiza zote.carpet na siti za magari.
1.Tunauza dawa ya tiles masinki
2.Sabuni yakusafishia masofa aina zote,Siti za magari na carpet
Wasiliana nasi ili kuweka oda kupitia whatsap namba au jion grp
https://chat.whatsapp.com/KJum1nIJmRtI20QM9jKDRT

15/07/2023

Je umehangaika kutumia dawa nyingi kwa ajili ya kuondoa uchafu sugu kwenye tiles na masinki.
Suluhisho Lake nnalo karibu upate Hudum ya usafi au tukuuzie dawa na tunakupa maelekezo jinsi yakutumia ili umalize tatizo la uchafu sugu kwenye tiles na masink
Kwa mahitaji ya dawa au kufanyiwa usafi weka oda kupitia whatsapp namba 0694000973 au jion grp https://chat.whatsapp.com/KJum1nIJmRtI20QM9jKDRT

Je umehangaika kutumia dawa nyingi kwa ajili ya kuomdoa uchafu sugu kwenye tiles na masinki.Suluhisho Lake nnalo karibu ...
15/07/2023

Je umehangaika kutumia dawa nyingi kwa ajili ya kuomdoa uchafu sugu kwenye tiles na masinki.
Suluhisho Lake nnalo karibu upate Hudum ya usafi au tukuuzie dawa na tunakupa maelekezo jinsi yakutumia ili umalize tatizo la uchafu sugu kwenye tiles na masink

Address

P. O Box 958, Tanga, Tanzania
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aziza cleaners posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share