Inuka rehabilitation hospital

Inuka rehabilitation hospital INUKA Rehabilitation Hospital is a specialized hospital but not limited to Rehabilitation services.

It is a private facility owned by the Roman Catholic Diocese of Njombe, located in Wanging’ombe within Njombe Region about 25 km from Makambako Town.

We would like to inform you that  our services are now available for STRATEGIS MEMBERS.Karibu sana Inuka rehabilitation ...
29/05/2026

We would like to inform you that our services are now available for STRATEGIS MEMBERS.

Karibu sana Inuka rehabilitation hospital tukuhudumie.

29/04/2026

KAA TAYARI kufuatilia sehemu ya tatupi (Episode 3) ya kipindi chetu kipya cha "INUKA SERVICES" ili kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu huduma za utengema (Rehabilitation services) zinazotolewa hapa Inuka rehabilitation hospital.

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Kipindi hiki "INUKA SERVICES " Kinapatikana katika chaneli yetu ya youtube.

Instagram:
Youtube: inukarehabilitationhospital
Facebook: Inuka rehabilitation hospital

23/04/2026

Lengo la Huduma ya Tiba kazi (occupational therapy) ni lipi?..

Fuatilia sehemu ya pili (episode 2) ya kipindi chetu cha "INUKA SERVICES" ili kupata majibu ya maswali yote haya kupitia youtube chaneli yetu ya INUKA REHABILITATION HOSPITAL.

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Instagram:
Youtube: inukarehabilitationhospital
Facebook: Inuka rehabilitation hospital

21/04/2026

Huduma ya tina kazi (occupational therapy) , inatolewa kwa watoto wenye changamoto zipi?..

Fuatilia sehemu ya pili (episode 2) ya kipindi chetu cha "INUKA SERVICES" ili kupata majibu ya maswali yote haya kupitia youtube chaneli yetu ya INUKA REHABILITATION HOSPITAL.

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Instagram:
Youtube: inukarehabilitationhospital
Facebook: Inuka rehabilitation hospital

03/03/2026

Huu ndio umuhimu wa huduma za tibalishe na ushauri katika kufanikisha huduma za utengemao.

Fuatilia kipindi chetu kipya cha "INUKA SERVICES" ili kupata majibu ya maswali yote haya kupitia youtube chaneli yetu ya INUKA REHABILITATION HOSPITAL.

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Instagram:
Youtube: inukarehabilitationhospital
Facebook: inukarehabilitationhospital

Address

P. O. Box 216 Makambako
Wangingombe
59307

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inuka rehabilitation hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Inuka rehabilitation hospital:

Shortcuts

Share

Category