03/07/2026
Watu wengi huishi na maambukizi ya H. Pylori kwa muda mrefu bila kujua. Matokeo yake huanza kupata maumivu ya tumbo, kiungulia, gesi nyingi na wakati mwingine vidonda vya tumbo.
✅ Fahamu njia za maambukizi.
✅ Pata uchunguzi wa mapema.
✅ Linda afya yako na familia yako.
Usipuuze dalili. Afya bora huanza na hatua sahihi.