Dr.Nasra

Dr.Nasra all about health and aviation medicine plus community engagement.

25/05/2026

Taasisi za Serikali zina wajibu wa kuhakikisha malimbikizoTaasisi za Serikali zina wajibu wa kuhakikisha malimbikizo ya madeni yanatatuliwa kwa wakati, kwani taasisi zinazotoa huduma kwa Serikali zinapokosa kulipwa hupunguza ufanisi wa kazi, ubora wa huduma na uwezo wa kuendelea kuhudumia wananchi ipasavyo.

Uwajibikaji wa kifedha ni msingi wa maendeleo endelevu na utoaji bora wa huduma kwa jamii.

21/05/2026

Uanzishwaji upya wa Chuo cha Ualimu Nkrumah umeambatana na changamoto na mapungufu mengi ambayo bado yanahitaji majibu ya kina kutoka Serikalini.

Pamoja na hatua hiyo kuonekana kuwa ni juhudi za kuimarisha sekta ya elimu, bado kumekuwepo na malimbikizo ya posho pamoja na stahiki nyingine za walimu na wafanyakazi wa chuo hicho, jambo linaloendelea kuathiri morale na ufanisi wa kazi.

Hadi sasa, bado Serikali haijaweka suluhisho la kudumu na lenye kuonekana wazi kuhusu suala hili, hali inayozua wasiwasi kwa walimu na wafanyakazi wanaoendelea kuitumikia taasisi hiyo katika mazingira yenye changamoto za kiutendaji na kimaslahi.

14/05/2026

Mifumo ya upatikanaji wa haki kwa watumishi wa umma bado ni changamoto kubwa. Kumekuwa na malimbikizo ya muda mrefu ya mishahara, posho na stahiki mbalimbali za walimu, hali ambayo imeendelea kuwa kero na chanzo cha kuvunjika kwa moyo wa kazi kwa walimu wengi.

Walimu ndio msingi wa malezi na maendeleo ya taifa, hivyo kucheleweshwa kwa haki zao kunadhoofisha motisha, ufanisi wa kazi pamoja na ubora wa elimu inayotolewa kwa watoto wetu. Ni muhimu Serikali ikaweka mifumo yenye uwazi, ufuatiliaji na uwajibikaji ili kuhakikisha walimu wanapata stahiki zao kwa wakati na kwa usawa.

13/05/2026

Ikiwa ni muendelezo wa mjadala wa Bajeti za Wizara mbalimbali, leo nilipata nafasi ya kuchangia Bajeti ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais – Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora.

Katika mchango wangu, nilisisitiza umuhimu wa kuongeza kasi ya upatikanaji wa , hususan katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka.

Kuendelea kuwepo kwa mlundikano wa kesi na ucheleweshaji wa mwenendo wa mashauri kunawaathiri wananchi moja kwa moja na kudhoofisha imani yao katika mfumo wa .

Ni muhimu taasisi husika ziwezeshwe kwa rasilimali, watendaji na mifumo bora ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati. Kwani inayocheleweshwa ni sawa na iliyonyimwa.

08/05/2026

Kuna kadhia nyingi zinazohitaji kukumbushiwa kila dakika kwa sababu ubinaadamu umekua si katika tunu tunayoithamini .

Bajeti ni kipimo cha uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi.Katika mjadala wa Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuhusu Ofisi ya Ma...
07/05/2026

Bajeti ni kipimo cha uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi.

Katika mjadala wa Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuhusu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (SMZ) wajumbe walijadili kwa kina changamoto za maafa yanayoendelea kujitokeza mara kwa mara, hususan wakati na baada ya chaguzi.

Aidha, hoja mbalimbali ziligusia matumizi ya TASAF yanayolalamikiwa kuendeshwa kisiasa pamoja na udhaifu wa mifumo ya kukabiliana na maafa, hasa kwa maeneo yenye mazingira maalum ya kijiografia k**a Zanzibar. Pia, kulikuwa na mjadala kuhusu athari za shughuli za ujenzi na maendeleo ya miundombinu ndani ya nchi ambazo zimekuwa zikichangia kuongezeka kwa baadhi ya maafa na changamoto za mazingira.

Ni wajibu wa Serikali kuhakikisha mipango ya maafa inakuwa imara, yenye usawa, na inayoweka mbele usalama na ustawi wa wananchi wote.

23/04/2026
Kashata was  my Bibi's favourite snacksBibi yangu licha ya kua na kisukari mapishi yake makubwa yalikua ni Vitu vya Suka...
23/04/2026

Kashata was my Bibi's favourite snacks
Bibi yangu licha ya kua na kisukari mapishi yake makubwa yalikua ni Vitu vya Sukari mwenyewe alikua akifanya biashara ya ubuyu, kashata na visheti vya kokoto, nusu anakula, nusu za wajukuu na kilichobaki anauza .

Kila siku kuongezewa mtaji....lol

Allahumma Yarhamaha

Harmonized leadership isn’t about one person having all the answers...it’s about making space for others to be part of t...
18/04/2026

Harmonized leadership isn’t about one person having all the answers...it’s about making space for others to be part of them.

When women are truly heard, not just present, things shift. Conversations become more real, decisions more thoughtful, and leadership more human.

It’s less about being the loudest in the room, and more about making sure no voice is left out.

Shaping the world’s future requires equal representation...voices from every sector, every background, at the table.At R...
14/04/2026

Shaping the world’s future requires equal representation...voices from every sector, every background, at the table.

At RENEWPAC, we engaged across powerful platforms including the African Liberal Parliamentary Alliance and , exchanging ideas that connect policy, people, and purpose.

These spaces remind us: inclusive leadership is not optional...it is the foundation of a just and sustainable future.

13/04/2026

RENEWCAP recap ... where ideas meet action.
A powerful space shaping the future of democracy, sovereignty, and inclusive policy. Grateful to have contributed to conversations that connect leadership, innovation, and real impact.

This is how we move forward...together.

Address

Mwana Kwerekwe Zanzibar
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Nasra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Nasra:

Share

Category