Health world

Call Directions Contact the practice

Health world WhatsApp: 0768 537 791
Location: Morogoro Mjini

Nyumbani MedCare ni huduma ya afya nyumbani inayotoa:
• BP Check
• Sugar Check (Kisukari)
• Huduma kwa Wazee
• Ushauri wa Afya

Tunatoa huduma salama, nafuu na za haraka kwa familia na jamii.

26/11/2025
26/11/2025

Dalili za awali za Kisukari unapaswa kuzifahamu”

Watu wengi hawatambui mapema kuwa wana kisukari. Dalili za tahadhari ni pamoja na:
✔ Kiu isiyoisha
✔ Kukojoa mara kwa mara
✔ Uchovu usioelezeka
✔ Kula sana lakini kupungua uzito

Mapema ndiyo kinga.
📞 0768 537 791
# Health world

23/11/2025

Je wajua,
Shinikizo la damu (BP) linaweza kupanda kimya kimya bila dalili zozote.
Ndiyo maana ni muhimu kuangalia BP angalau mara 1–2 kwa wiki, hasa k**a una:
✔ Kisukari
✔ Uzito mkubwa
✔ Historia ya BP kwenye familia
✔ Umri 40+
Tupigie sasa au chat Nasi WhatsApp
0768537791

Morogoro

23/11/2025

Unafahamu ni kwa nini wazee wanahitaji uangalizi wa karibu?”

Kadri tunavyozeeka:
✔ Shinikizo la damu huongezeka
✔ Hatari ya kisukari hupanda
✔ Mwili hupungua nguvu na usalama unakuwa muhimu

Huduma za Afya kwa Wazee sasa zinapatikana Nyumbani-medcare
Unapenda kuandikiwa mpango maalum wa kumsaidia mzee wako?
📞 0768 537 791

23/11/2025

KISUKARI.

Dalili Hizi za awali za Kisukari unapaswa kuzifahamu

Watu wengi hawatambui mapema kuwa wana kisukari. Dalili za tahadhari ni pamoja na:
✔ Kiu isiyoisha
✔ Kukojoa mara kwa mara
✔ Uchovu usioelezeka
✔ Kula sana lakini kupungua uzito

Mapema ndiyo kinga.
Nyumbani Medcare tunapima Sukari hata ukiwa nyumbani kwako.
Tupigie leo
📞 0768 537 791

Health Tip — Shinikizo la DamuJe  wajua*🩺 Shinikizo la damu (BP) linaweza kupanda kimya kimya bila dalili zozote.Ndiyo m...
23/11/2025

Health Tip — Shinikizo la Damu

Je wajua

*🩺 Shinikizo la damu (BP) linaweza kupanda kimya kimya bila dalili zozote.
Ndiyo maana ni muhimu kuangalia BP angalau mara 1–2 kwa wiki, hasa k**a una:
✔ Kisukari
✔ Uzito mkubwa
✔ Historia ya BP kwenye familia
✔ Umri 40+

Huduma ya BP Check inapatikana Nyumbani medcare
Haraka na Salama.
📞 0768 537 791

Habari wote 😊Kwa yeyote anayehitaji huduma za afya NYUMBANI,  Kwa wakazi wa Morogoro mjini, Nyumbani medcare inakuletea ...
23/11/2025

Habari wote 😊

Kwa yeyote anayehitaji huduma za afya NYUMBANI,
Kwa wakazi wa Morogoro mjini, Nyumbani medcare inakuletea huduma zifuatazo
✔ BP Check / Shinikizo la Damu
✔ Blood Sugar Check / Kisukari
✔ Huduma kwa Wazee (Elderly Care)
✔ Ushauri wa Afya (Counseling)

Huduma ni salama, za haraka na bei nafuu. Tunafika maeneo mbalimbali kwa mahitaji ya wagonjwa na familia.

Kwa mawasiliano:
📞 0768537791

Asanteni sana 🙏

Address


Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255768537791

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health world posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Health world:

Shortcuts

  • Want your practice to be the top-listed clinic?

Share