Edge Evans

Edge Evans Politics and government..... Young politician ����

CS Julius Ogamba closes Utumishi Girls Academy with immediate effect....
28/05/2026

CS Julius Ogamba closes Utumishi Girls Academy with immediate effect....

Eid Mubarak to our Muslim family from Mount view ward and beyond from Enos Teche Jomba. May this season bring peace in a...
27/05/2026

Eid Mubarak to our Muslim family from Mount view ward and beyond from Enos Teche Jomba. May this season bring peace in abundance

Wakazi wa Mountain View Ward, hii ni time ya kuchagua leadership yenye iko ready kufanya kazi na kuhudumia watu kwa ukwe...
25/05/2026

Wakazi wa Mountain View Ward, hii ni time ya kuchagua leadership yenye iko ready kufanya kazi na kuhudumia watu kwa ukweli. Enos Teche ni kijana mwenye vision, passion na commitment ya kuleta maendeleo kwa ward yetu. Anaamini kwa empowerment ya vijana, support kwa kina mama, maji safi na security bora kwa kila resident.

2027 tukumbuke kwamba change inaanza na sisi wenyewe. Tupige kura kwa Enos Teche kuwa MCA wetu na tujenge Mountain View yenye kila mtu atajivunia.

Muwe na productive week ahead, kazi ziende poa na Mungu awabariki sana.
#𝐁𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫𝐌𝐮𝐬𝐭𝐂𝐨𝐦𝐞

“When the righteous thrive, the people rejoice; when the wicked rule, the people groan.” — Proverbs 29:2Wasee wa Mountai...
24/05/2026

“When the righteous thrive, the people rejoice; when the wicked rule, the people groan.” — Proverbs 29:2

Wasee wa Mountain View Ward, this verse speaks directly to us today. The suffering, frustration, lack of opportunities, poor services and struggles we face every day are a result of wicked leadership that has forgotten the people.

But change is possible when righteous leaders rise. Leaders who listen. Leaders who serve. Leaders who care about vijana, mama zetu, biashara zetu and the future of our community.

2027 lazima tufanye maamuzi yenye italeta maendeleo, dignity na hope kwa mtaa yetu. Let us choose leaders with integrity, vision and a heart for the people.

Jomba Enos Teche believes in empowering the youth, supporting women, improving healthcare, water supply and security for all.

Have a blessed and peaceful Sunday watu wa Mountain View Ward. May God guide us as we prepare for a better future together.

From Jomba Enos Teche

For I know the plans I have for you, declares the Lord, plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope...
21/05/2026

For I know the plans I have for you, declares the Lord, plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future. (Jeremiah 29:11)
Hata k**a kuna changamoto leo hapa mountain view, kumbukeni kuwa kuna mpango mzuri mbele yenu, mpango wa baraka, maendeleo na tumaini jipya.
Na mtumaini Mungu, tuendelee kushik**ana na kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya ward yetu.
Wishing you all a Sunday full of God’s grace, peace, and blessings.

21/05/2026

Made in mountain view, schooled in mountain view and lives in mountain view! Jomba anasema yuko kwa debe na roundi hii lazima vitu zifanyike perfectly.

Mountain View watu wangu wa nguvu, time ya siasa za promises tupu imeisha. Sasa tunataka vitendo, maendeleo na uongozi s...
19/05/2026

Mountain View watu wangu wa nguvu, time ya siasa za promises tupu imeisha. Sasa tunataka vitendo, maendeleo na uongozi safi💯
Enos Teche aka Jomba si mtu wa maneno mingi, ni mtu wa action na kusaidia jamii kwa ground. Anaelewa shida za vijana,changamoto za wamama wetu na wazee juu yeye ni mmoja wetu, biashara, usafi wa ward, security na maendeleo ya kila mtaa. ✊🏾
Tuchague leader mwenye ako close na wananchi, mwenye anajua hustle za ground na ako ready kuwork for the people.
Mountain View deserves better, na better ni Jomba! 🔥
2027 ni mwaka wa kubadilisha story ya ward yetu.

17/05/2026
Mountain View viva! 🔥 Enos Teche Jomba ni kijana wa watu, mtu wa action na development. Hatutaki viongozi wa promises tu...
13/05/2026

Mountain View viva! 🔥
Enos Teche Jomba ni kijana wa watu, mtu wa action na development. Hatutaki viongozi wa promises tupu, tunataka kazi kwa ground. Jomba amekuwa close na wananchi, anajua challenges za youth, biashara na families za Mountain View. Time imefika ya kuleta new energy, new ideas na maendeleo ya ukweli. Twende pamoja na Jomba, tupige kura smart 2027 na tufanye Mountain View kuwa mfano wa maendeleo Nairobi yote! 💪

Safari ya ukombozi imeanza! 💪🇰🇪250 uniforms delivered to our students courtesy of incoming Mountain View MCA Enos Teche ...
08/05/2026

Safari ya ukombozi imeanza! 💪🇰🇪
250 uniforms delivered to our students courtesy of incoming Mountain View MCA Enos Teche Jomba, in partnership with Kenya Power. Education first, transformation ahead. 📚✨
#

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Edge Evans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category