TabasamuLetu Hub

TabasamuLetu Hub Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TabasamuLetu Hub, AIDS Resource Center, Kahama.

Huduma zetu:
•Kuuza malighafi za ujasiriamali
•Kutoa mafunzo ya ujasiriamali
•Kusaidia wajasiriamali kujiajiri
•Kusimamia wajasiriamali (mentorship)
•Kuuza bidhaa za sabuni na usafi

Ubungo Dar es Salaam

Wasiliana nasi:
WhatsApp: wa.me/255776287976

08/08/2026

Jenga Kiwanda Nyumbani Mwako.

Malighafi | Vifaa | Ushauri | Mafunzo | Uzalishaji

Wasiliana nasi: 0679 544 671

TabasamuLetu Hub

🤝..............................

ONE ORDER, FOUR FAVORITES!Wakati mwingine mteja hataki kuchagua sabuni moja tu...Anataka kujaribu zaidi ya moja.Na hapo ...
07/08/2026

ONE ORDER, FOUR FAVORITES!

Wakati mwingine mteja hataki kuchagua sabuni moja tu...

Anataka kujaribu zaidi ya moja.

Na hapo ndipo Soap Bundle inapokuwa strategy nzuri ya kuongeza thamani ya oda huku ukimpa mteja nafasi ya ku-experience bidhaa zako tofauti kwa mara moja.

Hebu fikiria bundle hii ya TABASAMULETU HUB:

Aloe Vera Soap
Kwa experience ya usafi na freshness.

Kojic Papaya Soap
Moja ya chaguo linalovutia wapenzi wa skincare products.

Carrot Vitamin C Soap
Kwa anayependa bidhaa zenye mguso wa carrot na Vitamin C.

Activated Charcoal Soap
Kwa anayependa cleansing experience yenye charcoal.

Na hapa ndipo tunapoongeza kitu kingine muhimu...

PACKAGING.

Sabuni hazijawekwa tu kwenye box.

Kila bar imepangwa kwa umakini, ikiwa na shredded paper, TABASAMULETU HUB Thank-You Card, kisha kufungwa kwa muonekano unaotoa premium unboxing experience.

Kwa sababu mteja hanunui bidhaa pekee.

Mara nyingi hununua pia experience.

Na k**a wewe ni soap maker, hii ni point muhimu sana:

Usifikirie kila mara jinsi ya kuuza bar moja.

Fikiria pia...

Unawezaje kumfanya mteja anunue zaidi kwa oda moja?

Hapo unaweza kutumia;

Bundle Offers.

Gift Boxes.

Product Combinations.

Special Packages.

Na Packaging inayofanya bidhaa ionekane yenye thamani zaidi.

Kwa mfano, badala ya mteja kuondoka na soap moja...

Anaweza kuondoka na bundle ya soaps nne na kupata experience tofauti kwa wakati mmoja.

Hii inaweza kukusaidia kuongeza average order value bila kulazimika kumlazimisha mteja.

Na kwa mteja anayehitaji zawadi?

Unamrahisishia zaidi.

Sabuni Nne.
Box Moja.
Experience Moja Ya Kipekee.

Sasa niambie...

Kati Ya Hizi Sabuni Nne, Ungeanza Na Ipi?

Aloe Vera?
Kojic Papaya?
Carrot Vitamin C?
Active Brighter?
Au Activated Charcoal?

Na K**a Wewe Ni Soap Maker Unayetaka Kujifunza Zaidi Kuhusu Formulation, Packaging, Branding, Marketing Na Sales System, unaweza kuwasiliana na TabasamuLetu Hub.

0679 544 671 | TabasamuLetu Hub

Jenga Bidhaa.
Jenga Brand.
Jenga Soko.

HAIR TREATMENT CREAMJe, Nywele Zako Zimepoteza Ile Hali Yake Ya Kuvutia?Je, Unatafuta Bidhaa Ya Kutunza Nywele Zako Na K...
07/08/2026

HAIR TREATMENT CREAM

Je, Nywele Zako Zimepoteza Ile Hali Yake Ya Kuvutia?

Je, Unatafuta Bidhaa Ya Kutunza Nywele Zako Na Kuzipa Uangalizi Bora?

Leo Hebu Tuangalie Mfano Wa Hair Treatment Cream —bidhaa inayopendwa sana kwenye soko la haircare kwa ajili ya matumizi ya kutunza na kulainisha nywele.

Siri kubwa ya bidhaa nzuri ya hair treatment ipo kwenye uchaguzi sahihi wa viambato na namna vinavyounganishwa ili kutoa uzoefu bora kwa mtumiaji.

MALIGHAFI MUHIMU:

• Mineral Oils
(Husaidia kutoa ulaini na kusaidia kuhifadhi unyevu kwenye nywele)

• Petroleum Jelly
(Husaidia kulinda nywele na kupunguza ukavu)

• Shea Butter
(Hutoa ulaini na lishe kwa nywele)

• Menthol
(Hutoa hali ya freshness kwenye ngozi ya kichwa)

• Sulphur
(Hutumika kwenye baadhi ya haircare formulations kwa ajili ya kutengeneza bidhaa zenye mahitaji maalum)

• Herbs Extracts
(Huongeza thamani ya asili kwenye bidhaa)

• Fragrance
(Hutoa harufu nzuri na kuongeza mvuto wa bidhaa)

Lakini ukweli ni huu...

Kutengeneza haircare product sio kuweka malighafi nyingi tu kwenye chombo.

Ni kuelewa;

Malighafi ipi ina kazi gani.

Uwiano sahihi wa formula.

Usalama wa bidhaa.

Na namna ya kuifanya iwe bidhaa inayoweza kuingia sokoni.

Kwa sababu...

Bidhaa bora haijengiwa kwenye chupa pekee.

Inajengwa kwenye ubora unaomfanya mteja arudi tena.

Hii ni sehemu ndogo tu ya ulimwengu wa Haircare Formulation.

Kwa wale wanaotamani kujifunza namna ya kutengeneza bidhaa za nywele, vipodozi vya asili na kujenga mfumo wa kipato kupitia bidhaa zao...

TabasamuLetu Hub ipo kukusogeza hatua kwa hatua.

Jifunze.
Tengeneza.
Boresha.
Na jenga brand yako.

TabasamuLetu Hub
0679 544 671

Ujuzi Leo, Mfumo Wa Kipato Kesho.

ULIKUWA UNATAFUTA BIASHARA YA KUANZA LAKINI HUJUI UANZIE WAPI?Huenda jibu lako likawa kwenye kitu ambacho wanawake wengi...
06/08/2026

ULIKUWA UNATAFUTA BIASHARA YA KUANZA LAKINI HUJUI UANZIE WAPI?

Huenda jibu lako likawa kwenye kitu ambacho wanawake wengi wanatumia kila siku…

SKINCARE & NATURAL COSMETICS.

Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza bidhaa zako mwenyewe k**a zifuatazo;

✓ Body Scrub
✓ Face Serum
✓ Natural Soap
✓ Body Butter
✓ Glow Oil
✓ Lip Balm
✓ Perfume Oil
✓ Hair Care Products
✓ Shower Gel
✓ Natural Lotion

Na kisha kuzigeuza kuwa brand yenye wateja na kipato.

Changamoto kubwa sio kutengeneza bidhaa pekee…

Changamoto ni kujua...

✓ Bidhaa gani zinauzika sokoni
✓ Jinsi ya kutengeneza kwa ubora
✓ Namna ya kufunga na ku-brand kitaalamu
✓ Jinsi ya kupata wateja na kuuza kwa faida

Binafsi ndiyo maana nimeandaa...

NATURAL SKINCARE BUSINESS MASTERCLASS

Darasa maalumu kwa watu wanaotaka kuingia kwenye biashara ya skincare na natural cosmetics hata k**a unaanza kutoka sifuri.

Nandani ya darasa utaweza kujifunza yafuatayo;

✓ Kutengeneza bidhaa zinazotafutwa sokoni
✓ Kuchagua ingredients sahihi
✓ Packaging na branding
✓ Pricing na mauzo
✓ Jinsi ya kuanza kujenga brand yako

Hata hivyo...

Utapata bonus maalumu;

Utapata pia mwongozo wa kugeuza ujuzi huu kuwa biashara halisi.

Usibaki kuwa mnunuzi wa vipodozi maisha yako yote…

Jifunze kuwa mtu anayezalisha na kuuza bidhaa zinazotumiwa kila siku.

Jiunge bure sasa kupitia WhatsApp:

https://wa.me/255679544671?text=Nahitaji%20kujiunga%20Natural%20Skincare%20Business%20Masterclass

Nafasi ni kwa wale walio tayari kuchukua hatua na kujifunza fursa hii.

Tukutane Kileleni ✊🏾

04/08/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Neem Timoteo, George Nesphor

04/08/2026
31/07/2026

THANK YOU SO MUCH, JULY.

Asante kwa kila somo, kila ushindi, kila changamoto, na kila hatua tuliyopiga.

ALL GLORY BE TO THE LORD.

Karibu, AUGUST.

Na iwe mwezi wa neema, fursa, mafanikio, na ushuhuda mpya.

AUGUST IWE HAKI YETU YA KIPEKEE.

Tuingie tukiwa na imani, matumaini, na bidii ya kuona makubwa yakitimia.

Malighafi | Ushauri | Mafunzo | Vifaa & UZalishaji

Tel: +255 679 544 671

29/07/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Khaika Hassan, Akulin Bwanabesa, Djerabe Claudin

Address

Kahama
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TabasamuLetu Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share