Osteolife

Call Directions Website Contact the practice

Osteolife MGONGO | MAGOTI | KIUNO | NYONGA | SCIATICA | GANZI | ARTHRITIS
Pata hapa...
Elimu • Mwongozo • Ushauri • Tiba
Call | WhatsApp +255 757 432 186

12/10/2026

Unasumbuliwa Na Maumivu Ya Mgongo Wa Chini?

Huenda Kuna Mabadiliko Katika Diski Au Viungo Vya Uti Wa Mgongo!

Kuelewa Chanzo Cha Maumivu Yako Ni Hatua Muhimu Ya Kujua Huduma Inayofaa.

Comment Neno “MIFUPA” Kwa Mwongozo Wa Kitaalamu Zaidi.

09/10/2026

Unaumwa Mgongo, Magoti Au Viungo?

Maumivu yanakufanya ushindwe....

Kutembea vizuri, kuinama au kufanya shughuli zako za kila siku kwa uhuru?

Mlonge (Moringa Oleifera) Unafahamika Kwa Thamani Yake Ya Lishe!

Lakini Je, Unajua Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuutumia?

Katika Video Hii, Mtaalamu Mwenzetu Wa Tiba Mbadala ameelezola umuhimu wa Mlonge!

Ungependa Kupata Mwongozo Wa Kitaalamu Kuhusu Matumizi Sahihi Ya Mlonge?

Comment neno “MLONGE”

Upate Mwongozo Wa Kitaalamu Kuhusu Matumizi Yake na...

Mambo Ya Kuzingatia Kwa Afya Ya Mifupa Na Viungo!

05/10/2026

Whatsapp unatumia namba ipi

04/10/2026

Ukweli ni kwamba....

Utando unaolinda mifupa isisuguane inaundwa na seli maalumu!

Unapokuwa kijana, mwili unatengeneza seli mpya haraka kuliko zinavyokufa!

Lakini kadri umri unavyosogea seli zinazokufa zinakuwa nyingi kuliko zinazozalishwa!

Matokeo yake? Utando unalika, mifupa inaanza kusuguana yenyew!

Na hapo ndipo maumivu makali, kukaza, na milio ya viungo inaposhika kasi.

Ikiwa unataka kujua jinsi ya kulinda mifupa yako!

Comment neno " MIFUPA" sasahivi kupata mwongozo wa Bure wa kitaalamu utakaokusaidia!

01/10/2026

𝗠𝗚𝗢𝗡𝗚𝗢 𝗪𝗔 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔? 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗭𝗢𝗘𝗭𝗜 𝗛𝗜𝗟𝗜!

30/09/2026

𝗨𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗦𝗖𝗜𝗔𝗧𝗜𝗖𝗔? 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜!

24/09/2026

Tazama video hii ujifunze njia rahisi ya kusaidia kupunguza maumivu ya mgongo.

Ili kuufanya mgongo wako uwe imara zaidi.

Kwa msaada wa kitaalamu zaidi, comment “MIFUPA”

23/09/2026

PINGILI HAZISAGIKI GHAFLA!

Mchakato huanza taratibu...

Diski kubadilika, nafasi kati ya pingili kupungua, na msukumo kwenye maeneo ya mgongo kuongezeka.

Usisubiri maumivu yawe makali ndipo uanze kuchukua hatua!

Tazama video hadi mwisho ujifunze zaidi.

Comment “MIFUPA” kwa msaada zaidi wa kitaalamu!

22/09/2026

Maumivu Ya Mgongo, Magoti Au Nyonga....

Yanaweza kufanya hata shughuli za kawaida kuwa ngumu—kutembea, kukaa, kuinuka au kulala kwa amani.

Usipuuzie dalili zinazojirudia.

Tambua Chanzo, Pata Mwongozo Sahihi, Na Chukua Hatua Kwa Wakati.

Comment Neno “MIFUPA” hapa chini kwa msaada wa kitaalamu zaidi.

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Osteolife posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Osteolife:

Shortcuts

Share